Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 829
- 1,491
Linahitajika penz moja tuu likupige matukio, ukitoka hapo ni jiwe.. ns hutokua mzembe daima😀😀Unashangaa kulia ama kutukana...🤔
Watu tuna taka hadi kujiua, na wakati mwingine tunaomba msamaha kwa gharama hata ya kununua macho matatu......chezea penzi kijana eeehhh...🤣
Unadhani wahenga walio andika "penzi kitovu cha uzembe" walikua wajinga sio...🤨
maisha tu ya kawaida, kwani we huwa mnawasiliana kuhusu nini na rafiki yako wa kike¿Kama mmeachana Kwann uombe awe rafiki yako, kwamba kila utakayeachana nae anabaki kuwa rafiki na kuwasiliana, mnawasiliana khs nini?
Natafuta hilo penzi moja nione ebu...😋Linahitajika penz moja tuu likupige matukio, ukitoka hapo ni jiwe.. ns hutokua mzembe daima😀😀
Unashangaa kulia ama kutukana...
Mkuu katika story ya yule jamaa aliyandika bila kuzingatia ngeli za nomino naona umetokana na 'kumwomba mpenzi msamaha kwa kumnunulia macho matatu'.Unashangaa kulia ama kutukana...🤔
Watu tuna taka hadi kujiua, na wakati mwingine tunaomba msamaha kwa gharama hata ya kununua macho matatu......chezea penzi kijana eeehhh...🤣
Unadhani wahenga walio andika "penzi kitovu cha uzembe" walikua wajinga sio...🤨
Kule nimeona maandishi yote yameungana hata sielewi ndio katumia lugha ya huko sinza au tabata...🤣Mkuu katika story ya yule jamaa aliyandika bila kuzingatia ngeli za nomino naona umetokana na 'kumwomba mpenzi msamaha kwa kumnunulia macho matatu'.
KUIGIZA ndo kunafanya watu walie na kuachanaLinahitajika penz moja tuu likupige matukio, ukitoka hapo ni jiwe.. ns hutokua mzembe daima
Sijawahi kuacha mwanamke!!!Nishasikia story za maisha ya watu waliokuwa wapenzi, baada ya kuachana. Mengine nimeshuhudia mubashara kabisa.
Hivi mtu mnaachana, afu UNALIA, UNAMTUKANA mwenzako, UNAMCHUKIA!!!!!!?
Kwanini?
Me siwezi kufanya ujinga huo hata siku moja.
Unakuta mwanaume kabisa anamchukia na kumtukana mwanamke kisa wameachana!!!
Wengine hata wakichomolewa tu, wanachukia balaaa, matusi yatakayokwenda kwa huyo dada ni yakutosha.
Sasa kwanini uteseke hivyo enhee!!
Me binafsi Mwanamke tukiachana, akichonimolea au akiniacha. Me nitaomba tuwe tu marafiki wa kawaida basi.
"Apo hata mazoea yakizidi, akiileta/akijilengesha NAICHAPA kiroho nzuri".
Unaambiwa jamaa kaandika 'Kitabata'.Kule nimeona maandishi yote yameungana hata sielewi ndio katumia lugha ya huko sinza au tabata...🤣
na huo ndo mpango mzima.Sijawahi kuacha mwanamke!!!
Huwaga wanajipunguza wenyewe, urafiki unabaki na anytime nikisikia njaa nakula.
Marafiki zangu wakike hawakuwahi kuwa wapenzi wangu.maisha tu ya kawaida, kwani we huwa mnawasiliana kuhusu nini na rafiki yako wa kike¿
Una mtu?Siku zote ukitaka kuenjoy mahusiano kua upande wa nakupenda pia.
Hata akijivuruga wala uwazi na maisha yanasonga
Naomba uzi uishie hapa.Kulia na kutukana ni dalili kuwa uliwekeza hisia kuliko akili.
Siku zote ukitaka kuenjoy mahusiano kua upande wa nakupenda pia.
Hata akijivuruga wala uwazi na maisha yanasonga
unajua kabla ya kuwa wapenzi kunakuwa urafiki?Marafiki zangu wakike hawakuwahi kuwa wapenzi wangu.