HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivi hapa ndo nafanya oral tu halafu natoka DODOMA ndukii🏃au naomba muongozo wenu wazoefu
 

Attachments

  • Screenshot_20240214-084228.jpg
    Screenshot_20240214-084228.jpg
    84.1 KB · Views: 30
Naomba kuuliza, hivi haya mambo ya status za kwenye web na app zinamaanisha Nini?
1. Selected for oral interview ( yaani hapa haijawahi badilika toka mtu afaulu written na kufanya oral inasomeka in both app&web)
2. Selected for null baada ya kufanya oral( app not in web)
3. Not selected for null baada ya kufanya oral (app not in web)
4. Shortlisted baada ya kufanya oral ( app&web)
 
Back
Top Bottom