Kwanini usukani wa gari unakaa kulia au kushoto badala ya kukaa katikati?

Squidward

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
7,543
9,037
Hodi humu ndani.

Husika na kichwa cha habari hapo juu..

Je, kuna maelezo yoyote kwa sisi tusiojua ishu hizi za magari? Natanguliza shukrani.
 
Kwa nini watu wengi hupenda kuweka vitanda vyao pembeni ya chumba na sio katikati ya chumba!!?...
Mwana taarab mmoja alihoji kwa nini nahodha awe nyuma ilihali abiria wakae mbele!!?...
 
Sina jibu sahihi LA moja kwa moja ila nafikiri isingefaa abiria aliyekaa mbele ampishe kwanza dereva ndio aingie kukaa katikati. Pili, urahisi wa kuona mbele hasa wakati wa overtake, gari yenye uskani upande wa kushoto ukiendesha kwetu tunao keep left inasumbua sana. Hiyo ni kwa mtazamo wangu
 
Yaani pembeni waweke viti vya abiria au?
Huoni kama utakuwa usumbufu na vipi wakati wa kushuka mpaka uvuke space moja ndio ufikie mlango?

Hili sio jibu la kitaalamu huwenda zipo sababu....
 
Mshikanyio ukikaa katikati unadhani utakuwa na faida gani?
 
Naongezea mshkanyio ukiwa kat dere akifanya makosa atapigwa aliekaa pemben wakat sio anaeendesha gari, pili instrument kazaa Zitakuwa wapi mfano LCD, GIA LIVA, REDIO, tatu saitmira vipi wakati wa ku ovatek au kupak , haiwezekani ianze siti halafu siti halafu ndio magia liva ni sawa na kweny sabufa mfano sea piano et spika kubwa ikae pemben halafu ndogo mbili zifatane inakuwa amna mpangilio mzuri hizo ni sababu zangu ila SABABU YA KISAYANC NI KULINGANA na gia box ilipo uwezi weka gia box pembeni hiyo injini itakaaje sasa? hiyo gari equilibrium yake itakuwaje? in short gar ltakuwa halina balance
 
Back
Top Bottom