Kwanini usiwe mpole kama mama yako??

Kuzaliwa na baba masikini ni mpango wa Mungu, kuolewa na mume chakavu ni ujinga wako!
 
Yeye mama mbona alivaa kanga hakutaka kaniki kama Bibi?
 
Mama mwenyewe hakumtaka mwenda kwa miguu akamchagua mwenye baiskel kwanini na mimi nisichague mwenye range
 
Kuzaliwa na baba masikini ni mpango wa Mungu, kuolewa na mume chakavu ni ujinga wako!

Ndo maana mnaishia kumegwa na vbabu na wengi wenu mnaliwa 0715.
Furaha ya mapenzi sio pesa!
 
wewe baba yako yuko kijijini anasikiliza redio ya mkulima, mbona wewe unavaa tai na kukomaa mjini? ujinga haurithiwi atiii:sleep:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…