mmh kuna maticha wanajua kuzibua jamani
Hahahahaa....uliwahi kuzibuliwa nn? Enzi zako.
mmh kuna maticha wanajua kuzibua jamani
daah yani ilikuwa ukifika muda wa fimbo lazima akili iwaze vizuri. Yani ntajitahidi tu nitoroke, nikibambwa basi fimbo za mkononI haina shida, shughuli sasa fimbo za matakoni mweeeee
Rewiiiibdiii embu sema unakumbuka mzibuo gani
Ukitoka hapo makalio yana mistari mistari kama tray za friji
Kuna siku two of my friends walikuwa wanapigana na me nilikuwepo hapo, afu kumbe ticha katuona akapita kimya. Kesho yake tukaitwa staff wote watatu coz me eti nilikuwa shahidi na sikufikisha taarifa za kupigana kwao. Acha tu kilichoyakuta makalio yangu khaaa Uncle D
Ukitoka hapo makalio yana mistari mistari kama tray za friji
Hukuwahi kutumia tech yenu ya kuvua nguo au kusingizia mwal kawatongoza! ha ha .