Semistocles
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,932
- 1,127
Asili ipi ya uumbaji na kwa mujibu wa nani?Nadhani inapingana na asili ya uumbaji wa mwanadamu
Unahitaji ukombozi ndugu yangu, Mungu hakuumba adam na adam, aliumba adam na eve.
Nilichogundua ni kwamba hisia zako kishoga zina nguvu kuliko uwezo wako.
Mungu akuongoze uache kupumuliwa kisogoni.
Basi nyie ndio mmepotoka maana sio kila mtu ni mkristo au muisilamu.kwakuwa umesema tusirelate na mambo mengine basi kulikuwa hakuna haja ya kuweka hili bandiko hapa sababu hizo ndiyo rejea zetu ili kupinga hilo swala
Nadhani inapingana na asili ya uumbaji wa mwanadamu
Sasa ndugu yangu, hizo hadithi za kale za adam na hawa za kwenye biblia si kwa ajili ya nyie wakristo??
Mimi sio mkristo mkuu!
Wanfundisha watoto wetu kutatuliwa malinda.Mtu akishatatuliwa malinda choo humtoka hovyo.malinda huwezi yarudisha kwa kushona,ni kilema cha maishaNataka nipate majibu ya kitaalamu kuhusu uchungu mioyoni mwa watu juu ya ushoga.
Mjadala huu usihusishwe kwa vyovyote na mambo ya uswahili swahili na dini zilizokuja na meli. Nchi hii ni SECULAR hivyo kila mtu ana imani yake. Zile hadithi za kale za sodoma na Gomora waweza kuzitupa jalalani!
Nahitaji nijue falsafa juu ya hasira zinazosababishwa na kusikia fulani ni shoga!?? Utasikia, fulani ni shoga huyu, analeta ukame nchini.. . (Hahhahahaa)
Ok.. let's go!
Hivi watu wawili wakiamua kuffirrana kwa hiari yao, kwanini liwe ni jambo la ajabu sana!?
Hawajamuibia mtu, hawajamtesa mtu, hawajakwapua mali ya umma.....???? Wanatumia miili yao tu kwa hiari yao!
Kuna shida gani mtu akitumia kiungo chake jinsi apendavyo??
Umeleta duku duku, unajibiwa lakini hutaki majibu ya uliowauliza...maana yake tayari una majibuMajibu ya Kiswahili Swahili haya. Typical illiterate Swahili.
Je kuna binadamu anaumba??? Kwanini tunahukumu katika hili?Nadhani inapingana na asili ya uumbaji wa mwanadamu
UMEWAHI KUSHUHUDIA HAYO YOTE MKUU?Wanfundisha watoto wetu kutatuliwa malinda.Mtu akishatatuliwa malinda choo humtoka hovyo.malinda huwezi yarudisha kwa kushona,ni kilema cha maisha
SAWA SHANGAZI NIMEKUELEWA.Mbona unapata hasira kumfirrra baba yako? Kama mmekubaliana hasira unatoa wapi?
Mfirre tu mzee wako..
Huo mtazamo ni kwa ushoga tu au hata masuala mengine kama madawa ya kulevya,mtu kujiua n.k?Mimi naona Kila mtu na maisha yake acha afirwe hata wanawake wanapenda Sana Tena wengine wanalazimisha so Kila mtu atumie mwili wake apendavyo atahukumiwa mwenyewe na Moto utamuhusu mwenywe
Sasa kwani Mungu alituambie tuhukumiane sisi kwa sisi au tusubili siku ya kiama!?Nadhani inapingana na asili ya uumbaji wa mwanadamu
Kuna mtu anapenda kuibiwa.... ???Hata hiyo mifano uliyotoa ya kuiba mali ya mtu au kutesa mtu,nayo pia si mambo ambayo huonekana mabaya kwa kila mtu na ndiyo maana kuna watu huyafanya na wengine maisha yao hutegemea wizi wa mali za watu.
Kwahiyo vile ambavyo wewe unavyochukulia ushoga kuwa kawaida tu ndivyo mwengine huchukulia kuiba mali ya mtu au hata kuua mtu kuwa ni kawaida tu.
Umeleta duku duku, unajibiwa lakini hutaki majibu ya uliowauliza...maana yake tayari una majibu