dodoso33
Member
- Oct 9, 2012
- 38
- 11
Sijawahi kuona popote pale mtu afike
ngazi ya kuwa CEO halafu ghafla aseme
amechoka uboss, anataka kuwa
Messenger...Sijawahi...Nakushangaa
wewe kijana, Mungu amekupa
mwanamke mzuri tu,ana kila kitu,anakupenda,watu wanamtolea
macho hawampati,ila wewe unaenda
unacheat na Kinyamkera cha
ajabu,kifurugobe hakina hata
shape,kimekomaa kama goti la mbuzi,
unakosa nini kwa mpenzi wako?Hata ukifumaniwa unak
osa pozi kujibu ulifuata nini...Na wewe
mwanamke, unapewa kila kitu na
mwanaume wako,he is handsome,very
caring,ya nini kumgeuza Soko la Hisa
kuuzia wengine Share zake, halafu vijitu unavyocheat navyo ni vifutu tu havina
hatadili...Kama mpenzi hajui shughuli na
kusimamia kucha, mwambie, mfundishe,
na sio kujiiba na Vifuu tundu,
ukikamatwa unasema Shetani
amekupitia, Huyo Shetani hana kazi aje kukupitia wewe tu peke yako...Respect
your partners,ukimchoka sema sio
unacheat na watu hawaeleweki wana
Shape ya Nazi au Kibatari!!!!!