kwanini usalitii

kwanini usalitii

HoneyBee ngoja nijaribu kujieleza lkn tunahitaji kukubaliana sehemu ya kuanzia.
Chanzo cha UOVU ni shetani right?
Chanzo cha WEMA ni Mungu!
I hope hapo tunakubaliana.
Kama ndiyo ROLE ya mwanadamu ni nini?
Uchaguzi wa kumfuata shetani au Mungu. Njia ya Mungu inapingana na Ubinafsi, njia ya shetani inafagilia Umimi/Ubinafsi. Ubinafsi unavutia zaidi na unaambatana na vitu vizuri kwa nje; hivyo shetani hana kazi kubwa sana ktk kushawishi watu wajipe ile kitu roho inapenda. Unahitaji nguvu zaidi au Neema kuyaacha ya kidunia (ubinafsi na anasa zake) kuliko kumfuata shetani na ubinafsi. Hiyo nguvu ya ziada au Neema ndicho ninachokiita Roho wa Mungu.
Hakuna anayetenda wema kwa nguvu zake mwenyewe kwani tupo weak sana kuliko majaribu ya shetani. Hivyo basi, ukikubali udhaifu wako na kujikabidhi kwa Mungu kwa sala na kufunga, Jaribu (vishawishi vyovyote vitalavyokujia), Mungu atakushindia (for you).

Sasa basi, kuna wanaokiri udhaifu bila kufanya juhudi ya kuacha udhaifu huo au hata kudhamiria kuuacha (nafikiri ndio unaowazungumzia); kitendo chao cha kutofanya juhudi ya kuacha naweza sema wamekamatwa vizuri na shetani. Swala wewe mtendewa ubaya ufanyeje?
Ni machaguo yako, lkn kama mtu wa Imani nashauri; pamoja na maamuzi mengine mazuri uliyoamua (kutengana, kureason naye etc) usiache kumuombea. Umuombee (kumfungua kutoka ktk minyororo ya shetani) ili aache njia za kishetani.
 
Last edited by a moderator:
Ipo siku shetani atajitokeza, atawakana wote, sijui mtamsingizia nani.

Kaunga hujambo, vi mwenda boarding anajiaandaaje, ameshafuzu mafuzo ya kumfuu

Kwasababu ya Shetani!
 
Ipo siku shetani atajitokeza, atawakana wote, sijui mtamsingizia nani.

Kaunga hujambo, vi mwenda boarding anajiaandaaje, ameshafuzu mafuzo ya kumfuu

Ha ha ha; shetani yu proud sana na watu wake (wazinzi na cheaters), hawezi wakana asilani.

Mwenda boarding hajambo alienda na amekuja likizo. Ameipenda shule na amepata marafiki tayari.
Anachea beki kwa timu yao ya darasa, amechagua beki ili acheze mechi zote maana forward inagombewa. Boys!
 
Hee Kaunga samahani nimezidiwa na shughuli za Christmas mpaka nimesahau kurudia JF! Anyways, akili imetulia kidogo naweza kukujibu kwa jinsi nionavyo wema VS ubaya kupitia imani yangu. Uzuri wa imani ni kwamba haina jibu moja tu.

Ni kweli niliokuwa nawaongelea ni hao wanaokiri udhaifu bila kufanya juhudi yoyote kufanya udhaifu. Kutupa mikono juu na kusema "oo ni shetani tu amenipitia". Ninachojiuliza ni kwanini shetani ampitie mmoja lakini si mwingine? Utajiepushaje na shetani kama wewe si mtu alieshika dini sana? Yaani si mtu anaeenda kusali kanisani, au ambae anasali nyumbani? Ninafahamu watu wengi wanaokesha kwenye nyumba za ibada ambao wanafanya mambo ya ajabu ajabu sana! Anyways, going off topic.

Kurudi kwenye mada, mimi ninachoamini ni kwamba mungu (he/she/it) ni muumba yote. Kama tunaongelea mungu wa dini ya kikristo. Kama mungu alimuumba shetani (ambae alikuwa malaika mbinguni) basi aliumba mabaya pia. Kama nyoka anaweza kukung'ata na kukutemea sumu ukafa, haimaanishi kwamba ni kiumbe kibaya. Sawa sawa na mbu anaekung'ata na kukuambukiza malaria. Hivi vyote aliviumba mungu. Mungu alitupa maarifa kuepukana na maovu. Ukiona nyoke, kimbia asikung'ate. Kukiwa na mbu, lala kwenye chandarua using'atwe. Ukiona unaanza kuwa na feelings kwa mtu asio mkeo/mumeo wa ndoa, suluhisha mambo yako nyumbani ili upendo na amani urudi kwenye ndoa yako. This is common sense, ukifanya opposite, yaani uendelee kujiweka kwenye majaribio ukijua fika kuwa mwishowe ni usaliti basi huwezi kumlaumu shetani kwani unajua mema na mabaya. Mungu alikupa huo uwezo. Si kwamba watu wengine wana mungu zaidi kwenye mioyo yao. Hapana siwezi kubali hiyo.

HoneyBee ngoja nijaribu kujieleza lkn tunahitaji kukubaliana sehemu ya kuanzia.
Chanzo cha UOVU ni shetani right?
Chanzo cha WEMA ni Mungu!
I hope hapo tunakubaliana.
Kama ndiyo ROLE ya mwanadamu ni nini?
Uchaguzi wa kumfuata shetani au Mungu. Njia ya Mungu inapingana na Ubinafsi, njia ya shetani inafagilia Umimi/Ubinafsi. Ubinafsi unavutia zaidi na unaambatana na vitu vizuri kwa nje; hivyo shetani hana kazi kubwa sana ktk kushawishi watu wajipe ile kitu roho inapenda. Unahitaji nguvu zaidi au Neema kuyaacha ya kidunia (ubinafsi na anasa zake) kuliko kumfuata shetani na ubinafsi. Hiyo nguvu ya ziada au Neema ndicho ninachokiita Roho wa Mungu.
Hakuna anayetenda wema kwa nguvu zake mwenyewe kwani tupo weak sana kuliko majaribu ya shetani. Hivyo basi, ukikubali udhaifu wako na kujikabidhi kwa Mungu kwa sala na kufunga, Jaribu (vishawishi vyovyote vitalavyokujia), Mungu atakushindia (for you).

Sasa basi, kuna wanaokiri udhaifu bila kufanya juhudi ya kuacha udhaifu huo au hata kudhamiria kuuacha (nafikiri ndio unaowazungumzia); kitendo chao cha kutofanya juhudi ya kuacha naweza sema wamekamatwa vizuri na shetani. Swala wewe mtendewa ubaya ufanyeje?
Ni machaguo yako, lkn kama mtu wa Imani nashauri; pamoja na maamuzi mengine mazuri uliyoamua (kutengana, kureason naye etc) usiache kumuombea. Umuombee (kumfungua kutoka ktk minyororo ya shetani) ili aache njia za kishetani.
 
Nakubaliana nawe pakubwa HB; lkn sio kweli shetani anamfuata mmoja tu, anatufuata wote; tena wenye imani zaidi kuliko wasio na imani.

Naomba nikuulize swali, wewe hauna bad habit ambayo unastruggle kuiacha? Inaweza ikawa tamaa, hasira, wivu, uchoyo, ulevi, chuki, uvivu, ulafi etc? Nimefundishwa kuwa shetani anajiattach kwenye hizo bad habit zetu, wengine wanaita mizizi ya dhambi. So kwa baadhi ya watu wanamakatwa na tamaa kiasi kwamba kila apitaye ni halali yake na wanajaribu kwa njia za kibinadamu kujinasua wanashindwa. Tafuta mmoja wapo ongea nawe with empathy lkn atafunguka. Wanasayansi mtaishia kusema they are sick au kwa wale vidokozi mnawaita kleptos.

Waweza tibu symptoms lkn ukweli ukitaka kumaliza ugonjwa one has to seek for devine power; na hiyo seeking ndio effort ya ukweli maana inakufanya uishi kutokana na mafindisho ya dini, ukiwa weak unajiimarisha kwa mafungo na sala. Ukumbuke kuna kwenda kanisani na kusali, sio wote wanaoenda kanisani wanasali; na pia kuna ku-say a prayer na ku-pray a prayer na sio wote wanao-say a prayer wana-pray a prayer n shetani knows kuliko hata wasaliji wenyewe.

Hee Kaunga samahani nimezidiwa na shughuli za Christmas mpaka nimesahau kurudia JF! Anyways, akili imetulia kidogo naweza kukujibu kwa jinsi nionavyo wema VS ubaya kupitia imani yangu. Uzuri wa imani ni kwamba haina jibu moja tu.

Ni kweli niliokuwa nawaongelea ni hao wanaokiri udhaifu bila kufanya juhudi yoyote kufanya udhaifu. Kutupa mikono juu na kusema "oo ni shetani tu amenipitia". Ninachojiuliza ni kwanini shetani ampitie mmoja lakini si mwingine? Utajiepushaje na shetani kama wewe si mtu alieshika dini sana? Yaani si mtu anaeenda kusali kanisani, au ambae anasali nyumbani? Ninafahamu watu wengi wanaokesha kwenye nyumba za ibada ambao wanafanya mambo ya ajabu ajabu sana! Anyways, going off topic.

Kurudi kwenye mada, mimi ninachoamini ni kwamba mungu (he/she/it) ni muumba yote. Kama tunaongelea mungu wa dini ya kikristo. Kama mungu alimuumba shetani (ambae alikuwa malaika mbinguni) basi aliumba mabaya pia. Kama nyoka anaweza kukung'ata na kukutemea sumu ukafa, haimaanishi kwamba ni kiumbe kibaya. Sawa sawa na mbu anaekung'ata na kukuambukiza malaria. Hivi vyote aliviumba mungu. Mungu alitupa maarifa kuepukana na maovu. Ukiona nyoke, kimbia asikung'ate. Kukiwa na mbu, lala kwenye chandarua using'atwe. Ukiona unaanza kuwa na feelings kwa mtu asio mkeo/mumeo wa ndoa, suluhisha mambo yako nyumbani ili upendo na amani urudi kwenye ndoa yako. This is common sense, ukifanya opposite, yaani uendelee kujiweka kwenye majaribio ukijua fika kuwa mwishowe ni usaliti basi huwezi kumlaumu shetani kwani unajua mema na mabaya. Mungu alikupa huo uwezo. Si kwamba watu wengine wana mungu zaidi kwenye mioyo yao. Hapana siwezi kubali hiyo.
 
Nimekuelewa Kaunga! As for whether ni shetani or not ambae anasababisha maovu yote, hatuwezi kudhibitisha, ndio uzuri wa imani. I like your perspective, lakini kwa kifupi watu wengine wanaendekeza maovu kwa kizingizio cha shetani. People need to be more accountable for their actions.

Nakubaliana nawe pakubwa HB; lkn sio kweli shetani anamfuata mmoja tu, anatufuata wote; tena wenye imani zaidi kuliko wasio na imani.

Naomba nikuulize swali, wewe hauna bad habit ambayo unastruggle kuiacha? Inaweza ikawa tamaa, hasira, wivu, uchoyo, ulevi, chuki, uvivu, ulafi etc? Nimefundishwa kuwa shetani anajiattach kwenye hizo bad habit zetu, wengine wanaita mizizi ya dhambi. So kwa baadhi ya watu wanamakatwa na tamaa kiasi kwamba kila apitaye ni halali yake na wanajaribu kwa njia za kibinadamu kujinasua wanashindwa. Tafuta mmoja wapo ongea nawe with empathy lkn atafunguka. Wanasayansi mtaishia kusema they are sick au kwa wale vidokozi mnawaita kleptos.

Waweza tibu symptoms lkn ukweli ukitaka kumaliza ugonjwa one has to seek for devine power; na hiyo seeking ndio effort ya ukweli maana inakufanya uishi kutokana na mafindisho ya dini, ukiwa weak unajiimarisha kwa mafungo na sala. Ukumbuke kuna kwenda kanisani na kusali, sio wote wanaoenda kanisani wanasali; na pia kuna ku-say a prayer na ku-pray a prayer na sio wote wanao-say a prayer wana-pray a prayer n shetani knows kuliko hata wasaliji wenyewe.
 
Hahaaaa!Pole mkuu yashatukuta wengi sana na amini ninachokuambiwa kuwa Hatujawahi kupata majibu ya hayo maswali!Ama kweli "wavumao baharini ni papa kumbe wengi wapo"!!!
 
cheating its a choice not a mistake
nilimfumaniaga X wangu
yani nilitaka kumpiga yule mwanamke bt nilivyomuona jinsi alivyo, nilimwambia aende
 
Sijawahi kuona popote pale mtu afike
ngazi ya kuwa CEO halafu ghafla aseme
amechoka uboss, anataka kuwa
Messenger...Sijawahi...Nakushangaa
wewe kijana, Mungu amekupa
mwanamke mzuri tu,ana kila kitu,anakupenda,watu wanamtolea
macho hawampati,ila wewe unaenda
unacheat na Kinyamkera cha
ajabu,kifurugobe hakina hata
shape,kimekomaa kama goti la mbuzi,
unakosa nini kwa mpenzi wako?Hata ukifumaniwa unak
osa pozi kujibu ulifuata nini...Na wewe
mwanamke, unapewa kila kitu na
mwanaume wako,he is handsome,very
caring,ya nini kumgeuza Soko la Hisa
kuuzia wengine Share zake, halafu vijitu unavyocheat navyo ni vifutu tu havina
hatadili...Kama mpenzi hajui shughuli na
kusimamia kucha, mwambie, mfundishe,
na sio kujiiba na Vifuu tundu,
ukikamatwa unasema Shetani
amekupitia, Huyo Shetani hana kazi aje kukupitia wewe tu peke yako...Respect
your partners,ukimchoka sema sio
unacheat na watu hawaeleweki wana
Shape ya Nazi au Kibatari!!!!!
Mkuu hata ukila pilau nyama na juice kila siku huwa inachoshaaaaaa lazima utake dagaa na tembele kwa dona ndo akili inakaa sawaaa
 
Back
Top Bottom