Kwanini Urusi wanamakombora mengi ya hatari ya nyuklia

Kwanini Urusi wanamakombora mengi ya hatari ya nyuklia

boris yelstin alikuw mjanj katik kuvunj ussr,aliakikish kuw 80% ya silaa zote za nuclear zipo ndani ya urusi kish akawambia ukraine kam wanatak uhuru basi sharti la kwanz ni lazim warudish 7% ya silaa za nuclear zilizolokuwep ukraine ndo wapewe uhuru wao.ukraine wakarudish silaa zote za nuclear,kazakstan na belarus wao walisem ni gharam kubw kuziudumia wakamwambia urusi azichukue tu.kw iyo silaa zote za nuclear zikaw kweny ardhi ya nuclear
 
Ukifatilia vizuri chazo cha Urusi kuwekeza kwenye nuclear arms ni mpango mkakati wa UK & Marekani kutaka kumshambulia Urusi kwa mabomu ya nuclear baada ya vita ya pili ya dunia. USSR ilifanya majaribio ya bomu Lake kwanza lá nuclear mwaka 1948/1949. Bomu hili lileta balance of power katika ya eastern & western block.... Hapo ndio cold war ikashika hatamu.
 
Back
Top Bottom