hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Nchi nyingi duniani zinamiliki makombola ya nyuklia lakini urusi ndio inaonyesha inaidadi kubwa ya makombola urusi inamakombola 8000 ya nyuklia na siraha zingine za hatari lakini swali linakuja.
Kwa mfano siku moja dunia ikapata ajari itakuaje? Kwa mfano matetemeko ya ardhi au kitu kizito kutoka angani kwa bahati mbaya kikadongekea sehemu yalipo hayo makombola na yakalipu peke yake huo sii ndio utakuwa mwisho wa urusi na nchi ilizo pakana nazo.
Najiuliza swali lingine kama urusi wameisha kuwa wataalamu wa kutengeneza hayo makombola kwanini wasiwe hata na makombola 50 ya sample na ili siku dunia ikipata matatizo isije kuighalimu sana urusi ili ije kuendelea kuwepo kwenye ramani ya dunia.