Kwanini URUSI haimsaidii IRANI kwenye hii vita?

MoroGent

Senior Member
Joined
Jan 10, 2018
Posts
146
Reaction score
460
Salamu wakuu,

Huu ni mshangao wangu na watu wengi kuona Irani inapigwa alafu Urusi yupo kimya hajasema lolote mpaka sasa. Kwangu mimi nilitegemea mashambuluzi ya marwkani itakuwa ndo sababu ya Utusi kumkingia kifua Irani na ingeweza kupelekea WW3, lakini haijawa ivo.
Nafikiria sababu nne zinazopelekea Urusi kutotoa msaada:

1. Iko bize na vita vyake na Ukraine na kwa ivo haiwezi anzisha vita juu ya vita

2. Biashara ya mafuta inainufaisha Urusi kwa kuwa ni mzalishaji mkubwa na bei imepanda kwa sababu ya vita ya Irani, kwa ivo maslahi kwanza

3. Uhusiano mzuri wa Urusi na Saudia pamoja na UAE hautakuwi kuharibika, kwa kuwa saudia na UAE wanamdiss sana Irani na wanatka aanguke ivo Urusi kumuunga mkono Irani anaweza kuwakera hawa marafiki wazuri na wenye faida zaidi kwake
Kwako wewe unaona sababu gani inamuweka mbali URUSI kwa IRANI?
 
Urusi inaendelea na vikao vya siri ambavyo vinahusisha yeye kuyaongoza mataifa ya kiislam kuipiga Israel, cha kushangaza ni kwamba urusi na hayo mataifa watapigwa tena kipigo cha aibu milenia.
 
Umechambua vema sana...na wasiwasi wangu ni kwamba NATO NA USA wanaweza kuigeukia urusi baada ya iran..maana dunia ina unafki mwingi sana
 
Urusi inaendelea na vikao vya siri ambavyo vinahusisha yeye kuyaongoza mataifa ya kiislam kuipiga Israel, cha kushangaza ni kwamba urusi na hayo mataifa watapigwa tena kipigo cha aibu milenia.
Kesho mp wa Iran anaenda urusi
 
Mataifa ya Kiislamu yapi?
 
Kuna raia wengi wa Israel wenye nasaba ya Russia, hivyo Putin hawezi kuwageuka ndugu zake wanaoishi Israel.

Sensa ya nchini Israel :

As of 2022, approximately 15% of the Israeli population is Russian-speaking, and the Russian-speaking community accounts for 15 percent of Israel's eligible voters. Israel is home to a core Russian-Jewish population of 900,000, and an enlarged population of 1,544,000 (including halakhically non-Jewish members of Jewish) …

View: https://m.youtube.com/watch?v=28YjvYgh_RE
 
Kesho mp wa Iran anaenda urusi
kuna kikao kinaendelea urusi akiwa kiongozi, iran, north korea, china, turkey wanamsikiliza urusi wakijadili, wakiwaza na kuwazua na urusi nini cha kumfanya Israel maana ni rasmi sasa beyond reasonbale doubt na macho na masikio ya nyama yameona ambayo tumekuwa tukisema Iran kamwe haiwezi na hatoweza kishinda Israel mille kivita.
 
1000135590.jpg

Jamaa wana akili sana
"Piganeni sisi tutawauzia silaha"
 
Waziri wa mambo ya nje wa Iran muda huu kapanda ndege kuelekea Russia kuonana na Putin yawezekana kuna mengi ya kuongea huko.....check aljazeera news updates .
 
Back
Top Bottom