Kwanini Ureno (Portugal) ni masikini?

lapu-lapu.jpg

Sanamu la Khalifa Lapu lapu huko Manila phillipines.
 
Sasa hao jamaa kizazi chako kiko wapi sasa.!
Wengi walioa mabinti wa kihispania na kireno pamoja na kiarabu kwasababu waliitawala Iberia kwa miaka 800 waliorudi Afrika walikuwa ni weupe wala na inasemekana walitikomea kwenye jangwa la sahara.
Imperio almoravide.jpg
 
1271ca8aeef9d97c3d48bb8ef243231b.jpg

Wareno pia walikutana na hawa mabarubaru wa Ceylon (Sri lanka)ambapo wareno walipokea kipigo kikali.
 
Wareno walihusika sana na biashara ya watumwa na ndio taifa lillofaidika na biashara hiyo.
 
kwenye kundi la matajiri kuna yule aliezidiwa na wenzake wote watamuona maskini, na kwenye kundi la masikini kuna yule mwenye afadhali watamuona tajiri, kwaiyo ungesema Ureno unamcopare na nchi zipi ama bara lipi.
 
Back
Top Bottom