Kwanini upo single?

mi wanawake wanigombania xana nimeona bora niwe single nipate uhuru wa kuwatumia vizur
 
Probably ni lesbian
 

Nipo single kwa sababu nimeumizwa na niliyefikiria ndiye wa ubavu wangu kumbe alikuwa mpita njia niliyemfananinisha na SCORPION WA BUGURUNI tena nilimuita MUUAJI maana aliniacha kipindi ambacho sikukitarajia hata kidogo..namshukuru Mungu amenipa nguvu ya kuweza kumsamehe nimemsamehe aendelee na maisha yake..hakika naamin ipo siku yangu nitapata wa kufanana nae
 
Hahaaaaa kapyungu umenikosha kweli kweli, yaani mnaanza vizuriiiii na siku zinasonga ila siku akiingizia tu beb naomba 50,000 ya saloon unatoka ndukiiiii
Unakuwa mgonjwa gafla
 
Mzinifu tu huyo hana lolote ingekua tunapima hivyo ndoa zi singekwepo kabisa
 
Pole sana binti wa kirombo, Scorpion wako kashakamatwa yupo ananyea debe so usijali jipange upya jiandae utampata wa kwako mpyaaa tena wa peke ako na atakusahaulisha yale yote maudhi na mabaya ya Scorpion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…