Kwanini upo single?


Anzia na ibada pia....
 
Uzi mzuri sana, nimejifunza na kuthibitisha yale yaliyo kuwa yanaleta utata,
Kwa kweli Pande zote hamna anaependa kusalitiwa, na kila mmoja kwa mara ya kwanza hua anadhani kwamba kua na mpenzi ni kujenga na kua na amani na furaha muda wote: Vile utakavyo mpenda msichana ama mvulana au mwanamme ama mwanamke, ukibadilisha mitazamo ya kumpenda, basi ujue umpoteza. Hamna yeyote mwenye Characters ambazo ziko listed, kwa maana hamna hiki ndicho kinacho fanya wengi wanabaki kua Single. Kizuri na chamsingi usisubiri tafuta kwa maana " atafutae hupata" usipo tafuta wajanja watazidi kujanjaruka. Ila Tafuta Fedha, sio Kutafuta kuwa Double.
 
Anzia na ibada pia....
Nashukuru nimezaliwa kwenye familia ambayo hata ulikuwa ukinywa maji mama anakwambia ombea ule utoto unakasirika lakini tumekuwa watu wazima hata wanaume wanaomba unashangaa kuamka ucku muanze kuomba ni kwa kawaida wakati mwingine unawaza kuna laziada kwa sbb in our clan we are blessed in most angles except marriage tufekwa.
 
Nyie masingo naona kuna watu humu ndani wanafanya mpango wa kolabo, Sasa mpango wa kolabo ukikamilika na mkiwa double au album mtujuze tusije gongana humu mlango wenyewe mmoja huu.
 
Nipo single coz sina mchongo unaoeleweka,,nikikaa vizuri kiuchumi nitakuwa pair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…