Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Mimi siishi baadae bali naishi leo!.....future will determine itself!!Sijasema nata kukutoa but nimeuliza lengo kuu baadae ni nini
Mimi siishi baadae bali naishi leo!.....future will determine itself!!Sijasema nata kukutoa but nimeuliza lengo kuu baadae ni nini
nikihitaji tena tunatafutanaUna hakika nafsi inatulia coz sex ni mchezo ambao hauna mshindi... Pia ni kitendo cha muda mfupi
Ndio mabusiano yako mengi but pia nimeuliza ndio kuhusu mapenzi. So issue sio lijali or gay but hapa issue ni expectations zako ndizo naobgelewa unatarajia nini toka kwa hayo mahusiano!? Pia mwanaume hasifiwi uanaume wake kwa kufanya ngono na wanawake wengi bali kuwa na mmoja kati ya wengi.Mahusiano yako mengi ila kwa asilimia kubwa ya yanayoongoza ni mahusiano ni ya mapenzi...Sasa kama huoni umuhimu wa kuwa na mpenzi kwa kijana mjasiri na rijali ntakushangaa...unauliza swal gan hilo!
Hiyo sasa ndio inayotutafsiri kuwa watu wa namna gani kumbukaMimi siishi baadae bali naishi leo!.....future will determine itself!!
Ya kweli haya?Mm sipo
Aiseee,very sadMimi nipo kwa ajili ya kula papuchi!.......kwenye papuchi hunitoi ng'oo!
Kama ni upendo y kuna folen nyngne za mahusianoDaa sijui kwanini nipo, ila she said she loves me, na ni kweli sometimes ananifurahisha sana, nafikiri this is the reason.
Love is all what we need!
Kila kitu kinajibu mkuuKawaida ni kama sheria , kawaida ni kama mifumo ya watu walioizoea na ukitaka kuuliza sana ,jibu hutopata
Mahusiano huanza kwa hisia ambazo mara nyingi ni kama matamanio pengine usiyoyaelewa na baadae akili hutumika kama future inaangaliwa
mahusiano kwangu nayaona kama mfumo ,Mahitaji binafsi na future yangu..
Sent using Jamii Forums mobile app