mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,258
- 1,541
Sawa Tz yenu hakuna, Ila yetu niliyopo mimi bado viongozi wangu wa kiserikali na mamlaka za afya zinazidi kunikumbusha nichukue tahadhari ya kujilinda na kuwalinda wenzangu ili tumtokomeze kabisa mdudu COVID hongereni sana mkuu kwa kumalizana na hili janga
Unachanganya mambo ..Habari watanzania leo ningependa kuuliza swali
Kwanini wapinzan wa Tanzania wakiambiwa Corona na vifo vimepungua hua wanachukia na pind wakipa taarifa watanzania tunakufa wanafurai na kuchekelea je wanapenda sis tufe kwa Corona au?
Kwanini wanalazimisha serekal iseme Corona Tanzania imesambaa wakat tukiacha watanzania wengine wote tujitoe na sis embu viongoz wa chadema na ACT hiv mnawagonjwa wangap wa Corona?
Kama hamna Basi kubalianen na serekal na acheni kupotosha watu maambukizi mapya ya Corona hamna Tanzania serekal imeweza kudhibit
Upinzani= kupingana na kila kitu hata kama kuna ukweli
Unachanganya mambo ..
Mm sio mpinzani ,ila huwezi furahi vifo ,wanachodemand hawa ni TAKWIMU SAHIHI ..
USICHANGANYE MAMBO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnasemaje hakuna maabukizi wakati hamtoi takwimu kama nchi zingine? kwanini mnaficha??Habari watanzania leo ningependa kuuliza swali
Kwanini wapinzan wa Tanzania wakiambiwa Corona na vifo vimepungua hua wanachukia na pind wakipa taarifa watanzania tunakufa wanafurai na kuchekelea je wanapenda sis tufe kwa Corona au?
Kwanini wanalazimisha serekal iseme Corona Tanzania imesambaa wakat tukiacha watanzania wengine wote tujitoe na sis embu viongoz wa chadema na ACT hiv mnawagonjwa wangap wa Corona?
Kama hamna Basi kubalianen na serekal na acheni kupotosha watu maambukizi mapya ya Corona hamna Tanzania serekal imeweza kudhibit
Ugonjwa UPO na UNAUA SAAANA. Ni upumbavu kulikabili tatizo kwa kujiaminisha kuwa halipo. Subiri afe mtu kwenu ndio uje upost hapa, shubaamit.Habari watanzania leo ningependa kuuliza swali
Kwanini wapinzan wa Tanzania wakiambiwa Corona na vifo vimepungua hua wanachukia na pind wakipa taarifa watanzania tunakufa wanafurai na kuchekelea je wanapenda sis tufe kwa Corona au?
Kwanini wanalazimisha serekal iseme Corona Tanzania imesambaa wakat tukiacha watanzania wengine wote tujitoe na sis embu viongoz wa chadema na ACT hiv mnawagonjwa wangap wa Corona?
Kama hamna Basi kubalianen na serekal na acheni kupotosha watu maambukizi mapya ya Corona hamna Tanzania serekal imeweza kudhibit
Hawana tofauti na wachawiHabari watanzania leo ningependa kuuliza swali
Kwanini wapinzan wa Tanzania wakiambiwa Corona na vifo vimepungua hua wanachukia na pind wakipa taarifa watanzania tunakufa wanafurai na kuchekelea je wanapenda sis tufe kwa Corona au?
Kwanini wanalazimisha serekal iseme Corona Tanzania imesambaa wakat tukiacha watanzania wengine wote tujitoe na sis embu viongoz wa chadema na ACT hiv mnawagonjwa wangap wa Corona?
Kama hamna Basi kubalianen na serekal na acheni kupotosha watu maambukizi mapya ya Corona hamna Tanzania serekal imeweza kudhibit
Hawana tofauti na wachawi
Unaongea na simu? Ulichojibu hakiendani na nilichoandika.Kama makamanda wote wa act na chadema pamoja na familia za viongozi wao marafiki zao hawana mgonjwa wa Corona hata mmoja Basi mjue kabisa nyie hampend kuongea vya muhim mnapenda kuongea ujinga
Habari watanzania leo ningependa kuuliza swali
Kwanini wapinzan wa Tanzania wakiambiwa Corona na vifo vimepungua hua wanachukia na pind wakipa taarifa watanzania tunakufa wanafurai na kuchekelea je wanapenda sis tufe kwa Corona au?
Same question
Kwanini watawala wakiambia Kuna vifo vingi wanachukia?
Ndiyo siasa Mkuu
Unaongea na simu? Ulichojibu hakiendani na nilichoandika.
Kwanini ccm na mwenyekiti wenu mkisikia Chadema na Mbowe mnabanwa na naniiiiHabari watanzania leo ningependa kuuliza swali
Kwanini wapinzan wa Tanzania wakiambiwa Corona na vifo vimepungua hua wanachukia na pind wakipa taarifa watanzania tunakufa wanafurai na kuchekelea je wanapenda sis tufe kwa Corona au?
Kwanini wanalazimisha serekal iseme Corona Tanzania imesambaa wakat tukiacha watanzania wengine wote tujitoe na sis embu viongoz wa chadema na ACT hiv mnawagonjwa wangap wa Corona?
Kama hamna Basi kubalianen na serekal na acheni kupotosha watu maambukizi mapya ya Corona hamna Tanzania serekal imeweza kudhibit
Jibu ulilonalo linakutosha.Tunataka mtujibu