mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,258
- 1,541
Habari watanzania leo ningependa kuuliza swali
Kwanini wapinzan wa Tanzania wakiambiwa Corona na vifo vimepungua hua wanachukia na pind wakipa taarifa watanzania tunakufa wanafurai na kuchekelea je wanapenda sis tufe kwa Corona au?
Kwanini wanalazimisha serekal iseme Corona Tanzania imesambaa wakat tukiacha watanzania wengine wote tujitoe na sis embu viongoz wa chadema na ACT hiv mnawagonjwa wangap wa Corona?
Kama hamna Basi kubalianen na serekal na acheni kupotosha watu maambukizi mapya ya Corona hamna Tanzania serekal imeweza kudhibit