Kwanini upinzani wakiambiwa hamna vifo na maambukiz ya Corona wanakasirika?

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Habari watanzania leo ningependa kuuliza swali

Kwanini wapinzan wa Tanzania wakiambiwa Corona na vifo vimepungua hua wanachukia na pind wakipa taarifa watanzania tunakufa wanafurai na kuchekelea je wanapenda sis tufe kwa Corona au?

Kwanini wanalazimisha serekal iseme Corona Tanzania imesambaa wakat tukiacha watanzania wengine wote tujitoe na sis embu viongoz wa chadema na ACT hiv mnawagonjwa wangap wa Corona?

Kama hamna Basi kubalianen na serekal na acheni kupotosha watu maambukizi mapya ya Corona hamna Tanzania serekal imeweza kudhibit
 
Sawa Tz yenu hakuna, Ila yetu niliyopo mimi bado viongozi wangu wa kiserikali na mamlaka za afya zinazidi kunikumbusha nichukue tahadhari ya kujilinda na kuwalinda wenzangu ili tumtokomeze kabisa mdudu COVID hongereni sana mkuu kwa kumalizana na hili janga
 
Kuna binadamu hapa duniani hawamtakii Rais wetu mema.

KWA WALE WENYE IMANI ZETU TUSIACHE KUMUOMBEA RAIS WETU jpm.

Jesus is Lord!
 
Kama makamanda wote wa act na chadema pamoja na familia za viongozi wao marafiki zao hawana mgonjwa wa Corona hata mmoja Basi mjue kabisa nyie hampend kuongea vya muhim mnapenda kuongea ujinga
Sawa Tz yenu hakuna, Ila yetu niliyopo mimi bado viongozi wangu wa kiserikali na mamlaka za afya zinazidi kunikumbusha nichukue tahadhari ya kujilinda na kuwalinda wenzangu ili tumtokomeze kabisa mdudu COVID hongereni sana mkuu kwa kumalizana na hili janga
 
Habari watanzania leo ningependa kuuliza swali

Kwanini wapinzan wa Tanzania wakiambiwa Corona na vifo vimepungua hua wanachukia na pind wakipa taarifa watanzania tunakufa wanafurai na kuchekelea je wanapenda sis tufe kwa Corona au?

Kwanini wanalazimisha serekal iseme Corona Tanzania imesambaa wakat tukiacha watanzania wengine wote tujitoe na sis embu viongoz wa chadema na ACT hiv mnawagonjwa wangap wa Corona?

Kama hamna Basi kubalianen na serekal na acheni kupotosha watu maambukizi mapya ya Corona hamna Tanzania serekal imeweza kudhibit
Unachanganya mambo ..
Mm sio mpinzani ,ila huwezi furahi vifo ,wanachodemand hawa ni TAKWIMU SAHIHI ..

USICHANGANYE MAMBO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari watanzania leo ningependa kuuliza swali

Kwanini wapinzan wa Tanzania wakiambiwa Corona na vifo vimepungua hua wanachukia na pind wakipa taarifa watanzania tunakufa wanafurai na kuchekelea je wanapenda sis tufe kwa Corona au?

Kwanini wanalazimisha serekal iseme Corona Tanzania imesambaa wakat tukiacha watanzania wengine wote tujitoe na sis embu viongoz wa chadema na ACT hiv mnawagonjwa wangap wa Corona?

Kama hamna Basi kubalianen na serekal na acheni kupotosha watu maambukizi mapya ya Corona hamna Tanzania serekal imeweza kudhibit
Mnasemaje hakuna maabukizi wakati hamtoi takwimu kama nchi zingine? kwanini mnaficha??
Mtopo keshatoka Kairuki? au sio korona ni CHANGAMOTO ZA UPUMUAJI?
 
Habari watanzania leo ningependa kuuliza swali

Kwanini wapinzan wa Tanzania wakiambiwa Corona na vifo vimepungua hua wanachukia na pind wakipa taarifa watanzania tunakufa wanafurai na kuchekelea je wanapenda sis tufe kwa Corona au?

Kwanini wanalazimisha serekal iseme Corona Tanzania imesambaa wakat tukiacha watanzania wengine wote tujitoe na sis embu viongoz wa chadema na ACT hiv mnawagonjwa wangap wa Corona?

Kama hamna Basi kubalianen na serekal na acheni kupotosha watu maambukizi mapya ya Corona hamna Tanzania serekal imeweza kudhibit
Ugonjwa UPO na UNAUA SAAANA. Ni upumbavu kulikabili tatizo kwa kujiaminisha kuwa halipo. Subiri afe mtu kwenu ndio uje upost hapa, shubaamit.
 
Habari watanzania leo ningependa kuuliza swali

Kwanini wapinzan wa Tanzania wakiambiwa Corona na vifo vimepungua hua wanachukia na pind wakipa taarifa watanzania tunakufa wanafurai na kuchekelea je wanapenda sis tufe kwa Corona au?

Kwanini wanalazimisha serekal iseme Corona Tanzania imesambaa wakat tukiacha watanzania wengine wote tujitoe na sis embu viongoz wa chadema na ACT hiv mnawagonjwa wangap wa Corona?

Kama hamna Basi kubalianen na serekal na acheni kupotosha watu maambukizi mapya ya Corona hamna Tanzania serekal imeweza kudhibit
Hawana tofauti na wachawi
 
Kama makamanda wote wa act na chadema pamoja na familia za viongozi wao marafiki zao hawana mgonjwa wa Corona hata mmoja Basi mjue kabisa nyie hampend kuongea vya muhim mnapenda kuongea ujinga
Unaongea na simu? Ulichojibu hakiendani na nilichoandika.
 
Habari watanzania leo ningependa kuuliza swali

Kwanini wapinzan wa Tanzania wakiambiwa Corona na vifo vimepungua hua wanachukia na pind wakipa taarifa watanzania tunakufa wanafurai na kuchekelea je wanapenda sis tufe kwa Corona au?

Same question
Kwanini watawala wakiambia Kuna vifo vingi wanachukia?
Ndiyo siasa Mkuu
 
Habari watanzania leo ningependa kuuliza swali

Kwanini wapinzan wa Tanzania wakiambiwa Corona na vifo vimepungua hua wanachukia na pind wakipa taarifa watanzania tunakufa wanafurai na kuchekelea je wanapenda sis tufe kwa Corona au?

Kwanini wanalazimisha serekal iseme Corona Tanzania imesambaa wakat tukiacha watanzania wengine wote tujitoe na sis embu viongoz wa chadema na ACT hiv mnawagonjwa wangap wa Corona?

Kama hamna Basi kubalianen na serekal na acheni kupotosha watu maambukizi mapya ya Corona hamna Tanzania serekal imeweza kudhibit
Kwanini ccm na mwenyekiti wenu mkisikia Chadema na Mbowe mnabanwa na naniiii
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom