Kwanini upende sifa?

Kwanini upende sifa?

QEEN ADEMU1

Senior Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
134
Reaction score
324
Kwa nini Upende sifa.?

NG'OMBE ana toa maziwa ya kulisha familia yote au mtaa lakin hapigi kelele.

KUKU mwenye kutaga yai moja tu kwa siku ambalo hata mtu mmoja halimtoshi kula hupiga kelele mtaa wote ili kila mmoja ajue kuwa ametaga.

Ktk Maisha kuna watu wenye maisha mazur sana ila wanajiheshimu na kuheshimu wengine. Wana toa misaada ya kutosha ila huendelea kuishi kawaida.

Lakin kuna kundi la watu..anaweza kukusaidia kwa jambo dogo ila atakutangaza kila sehemu.. Atapewa sahan moja ya chips kuku hapo atapiga picha na kujirusha mtandaoni kila mtu amuone.

Mtu anaweza kukusaidia kwa pesa au kupata kaz,lakin atamtangazia kila mtu kiwa bila yeye usingekuwa hapo ulipo...mara ooh naishi naye tu kwa kumuhurumia

Ktk mahuusiano mtu ana mke au mume wanaish kwa furaha upendo na aman ila mara chache sana kukuta picha zao za pamoja ktk mitandao ingawa wanapendana na kila mmoja muaminifu...kwa mwenzake kuwekana kwenye mitandao ni kama kupenda sifa

Lakin we una Boy/Girlfriend hata kwenu hafahamik lakin kila siku una mpost na maneno matamu kama vile umehakikishiwa Ufalme wa kudumu nae. Mbaya zaid unapo mpost nae ana waza kumpost mwingine au kuachana nawe...huo ni ujinga grade ya mwisho

Ktk maisha usifanye kitu ili uonekane bali fanya kulingana na uwezo wako, uwezo unapokomea hapo hapo ya nini kujihangaisha lakin kulingana na uhitaj wako....uwe na kiac

. Wapo wanao fanya vizur zaid yako usijione we wa kwanza kwa kila kitu zaid utaitwa mshamba......wapo wenzio walijua kupenda kuliko wewe !! Kawaulize sasa hivi

Mazur yako yatasemwa na wengine.....usihangaike watu wwkuseme kwa mazuri , hata kamq ni bint safi umeokoka ...kupicha umebeba bibilia hakukufanyi uonekane ni mtakatifu ...

Kuvaa hijabu kusikufanye uwadharau wengine uone kama wana penda anasa sana ....nakukumbusha hijabu haliwezi kukufanya uonekane una tabia njema!! Au ww ni mtu wa imani sana hata wenye hijabu nao wanaingia gesti mara kibao tu

Watakuheshimu hata bila kujitangaza.....wewe jiheshimu ,halafu waache watu wakuseme hata wakikuchafua kwa kukurushia matope usihangaike kuyatoa yaache yakauke yatabanduka mwenyewe !!

Mungu akusaidie kutafakari

Sent using i phone x
 
Ooooh oyaoya ONGEZA VOLUME DADA HAWA VIUMBE HAWATA KUSIKIA WAPO HUKU BACKBENCH

NAONA WANAINUA VICHWA TUU
tapatalk_1575211846423.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujionesha Kunaleta Fitna Kubwa Sana Yalowakuta Sidhan Kama Wanaham Na Huo Ujinga Wakujionesha Ktk Wayafanyayo
 
sio kwamba ulitaka tuone unatumia iphone x ..hudhani na wew unapenda sifa mkuu ni mawazo tuu
 
Back
Top Bottom