Wadau nimeona kwenye taarifa ya habari, hii ishu ya kupanua barabara ya mwenge to morroco is getting serious, sasa nnachojiuliza kwa upana wa barabara uliopo sasa hivi tunahitaji tena kufanya upanuzi au si ingekuwa ni vizuri serikali ingewekeza kujenga flyovers mbili moja mwenge na ingine morroco then na ile ya daraja la salender ikija kukamilika si tatizo la foleni lingekuwa limepungua kwa kiasi kikubwa kwa muunganiko wa flyover ya tazara na ubungo? kuliko ile hali mnatembea vizuri barabara pana ila karibu na mataa magari yanajazana tena kama inavyotokea sasa kutoka mwenge kwenda mataa ya ubungo.
Wadau mna mawazo gani as ni vizuri kutoa ushauri then hata kama kuna watu serikali humu wakisoma tutakuwa tumechangia mawazo chanya kwa maendeleo ya taifa letu...
Me naona serikali ingewekeza zaidi kwenye ujenzi wa flyovers kwenye maeneo mbali mbali ambazo hata tukiwa barabara mbili mbili still wil keep the city moving...