Kwanini unidanganye? Sasa kiko wapi?

As I said, za mwizi arobaini!

Hapo hakuna “za mwiz arobaini” maana jitu unalolijibu hivyo obvious limekukera hatak mawasiliano nalo !!!!! unakuta mtu ndo mmekutana mahali mkubadilishana contact hapo hapo anaanza kuuliza “wat u doing for a living” aisee lazima ujibiwe mbovu , na ndo mwisho wa mawasiliano hivyoooo
 
Hahahahhah walaah humu ndani kuna vitukooo ....
Hahaha kuna vituko vingi,eti ana gari 3,kila siku atakuambia leo ipo garage,na wala hujamwuliza una nini,unajua heri kuwa mkweli mbona utapendwa tu kuliko kuwa na fabricated stories.
 
Mtu anayeuliza hayo maswali kwenye mwanzo wa dating hata hamjasomana vizuri anakuwa target yake,hujazoeana na mtu unaanzaje,maana mkizoeana hayo utajua tu
 
Je, unafahamu vizuriii maana ya OPEN RELATIONSHIP?
OPEN RELATIONSHIP, ni mahusiano huru ambayo washirika hawaoneani wivu. Kwamba rafiki /mpenzi wako yupo huru kuwa na mtu mwingine kimapenzi na wewe ukaichukulia Poa.
 
We unahis sijui!? Au nmeandika tu!??
 
Hahaah, you made my day mkuu thanks
 
Hahaha kuna vituko vingi,eti ana gari 3,kila siku atakuambia leo ipo garage,na wala hujamwuliza una nini,unajua heri kuwa mkweli mbona utapendwa tu kuliko kuwa na fabricated stories.

Hahhahaha wenye nazo huwa hawajisemi ovyo ovyo !!!!! Huyu utakuta hana chochote , mchukulie poa bado limbukeni
 
Mtu anayeuliza hayo maswali kwenye mwanzo wa dating hata hamjasomana vizuri anakuwa target yake,hujazoeana na mtu unaanzaje,maana mkizoeana hayo utajua tu

Kweli kabisa kuna vitu with time utavijua tu huna hata haja ya kuuliza uliza .... tena mwanamke ni mropokaji ipo siku mwenyew ataanza kujielezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…