Kwanini unidanganye? Sasa kiko wapi?

Weka namba yake wanaume wakuonyeshe vile hufanya. Kalaumulaumu sio sifa ya kiume.
 
Mwanaume unaandika waraka mrefu huo kama ule wa maaskofu kulalamika kudanganywa??? Really

Dawa ya kudanganywa nawewe danganya.

Sasa ulitaka akuambie ana wanaume wengi??? Ulitaka akuambie kwao ni maskini??? Ulitaka akuambie hana kazi???

Ungemfata??? Wakati alikudanganya ili kukuingiza king
 
Ukishaijua formula ya mapenz,utaish maisha ya aman na furaha kama mim.

Formula ni ,hakuna wa peke yako.

Na ni marufuku kubembeleza penz...ukishaona dalil 1 mbaya,ya mizinga or uongo uongo,piga chin kama una malengo nae..kama huna malengo nae,endelea ku enjoy kipoch manyoya
 
Mwandishi kaongea vizuri sana kwa lengo la kufikisha ujumbe. Kusema mwanasheria imetumika kama kiwakilishi tu kwahyo inaweza kuwa kazi yoyote ile mtu akadanganya. Safi sana, nakubaliana nae asilimia zote. Waliosoma Literature watakuelewa vizur sana.
 
Wise word
 
Je mzinga alichoronga
 
Malipo ni hapahapa duniani haki vile!hata nyie mwatudanganya sana tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…