FactMmh hii yako mwenzangu inaitwa za mwenzio changanya na zako ila nikwambie sio kila kung'atwa ni lazima uchape lapa kung'atwa kwingine sababu ni kutokutaka kuzungumza na yule mng'ataji au sisi wanawake kushindwa kutambua sababu za huko kung'atwa hivo kusababisha kuwa jambo endelevu.
Hivyo naona kabla ya yote hayo kufanyika kama kubaki au kuondoka mazungumzo muhimu sababu tukisema kila tuking'atwa tunasepa huo ndio utakuwa mwanzo wa kujichakaza.
Hahaaa. Ndio nyumbani huko Mkuu.We nu wa Tanga nn Emmyta! Una busara sana...
Safi na hongera....Hahaaa. Ndio nyumbani huko Mkuu.
Habarini wadau wa jf natumai mko fiti mnapambana na hali zenu za kusaka tonge la maisha leo nimewakumbuka sana na kuonelea kuwa letea mada isemayo: Kwanini ung'atwe ovyo
Ilihali una miguu ya kusepa chanja mbuga achana nae kwani ni huyo tu uliyeandikiwa nae kufa na kuzikana shosti usikalie kuti kavu ilihali una mwelekeo wa kusepa achana nae songa kivyako maisha popote mtu anakusumbua wewe bado eti kisa mapenzi kwani ulizaliwa nae.
Achana nae Mungu atakupa mwingine wa kufanana nae wanaume wa sikuhizi hawaeleweki kabisa shosti wewe ukiona anakuletea zogo wewe ondoka utapata mwingine ambaye atakulea na ku handle maisha ni furaha sio karaha jifunze kuondoka kwani yeye ataona baadaye umuhimu wako
Najua mmeshapata somo hapa nawatakia kila kheri
kwaherini
Naskia nyie mna ..... Asilimia kubwa kuliko mikoa mingine... Mnawezaje?Hahaaa. Ndio nyumbani huko Mkuu.
Ahsante sana.Safi na hongera....
Mmh. Sijaelewa hata ulichoandika.Naskia nyie mna ..... Asilimia kubwa kuliko mikoa mingine... Mnawezaje?
Mnaongoza kuwa na bikir kuliko wengine.Mmh. Sijaelewa hata ulichoandika.
Ila nikwambie habari za kusikia usiwe unaziamini mpaka uone mwenyewe.
Ila ukweli mnasifika kwa kuwa na nidham sana. Ndo mana MTU akiingia tu anabobea kama kalishwa limbwataMmh. Hata sijui Mkuu.
Hahaaa. Aiseeeee.Ila ukweli mnasifika kwa kuwa na nidham sana. Ndo mana MTU akiingia tu anabobea kama kalishwa limbwata
Ok sawa mkuuwako wanaoeeleweka ndo maana nikasema sio wote baadhi yao ndo hao wanakung'ata hovyohovyo
Halafu we bibie nakutafuta ujueNdo mnavyo danganyanaga sio?
Sikatai kuna wanaume hawafai hasa manake kutwa utalia.
Lakini kuna wanaume ambao wanarekebishika, na kubadilika kabisa and they turn out to be awesome husbands and Dads.
I wish ungewapa limits wenzio na kuwapa moyo wawe wavumilivu kwa sababu hamna mwanamme aliekamilika na sisi pia hatujakamilika.
Tufundishane, tuelekezane na tuvumiliane. Sio kosa dogo tu unasepa na hapo ushatumika. Ndo utasikia mwingine anaibuka na kusema oooh sitaki mwanaume bora mwanamke mwenzangu, mara oooh naweka dildo yangu chumbani.
Wanaanzaga hivi hivi.