Kwanini ung'atwe ovyo!!

Wanaume wa sikuhizi hawaeleweki kabisa shosti wewe ukiona anakuletea zogo wewe ondoka
utapata mwingine
ambaye atakulea nakukuhendo maisha ni furaha sio karaha.

Uwe na consistency unapotoa nasaha zako!
ok mkuu
 
shosti utamvumilia mpaka mwishoe itabidi usepe maaana wengine wanakerekesha atii hujui tu
 
Naona unajustify tabia yako ya kuachikaachika. Baki nayo usiwaambukize wengine
 
Sema nini, sometimes kuongea ni rahisi kuliko kutenda.
yeah mwambie labda anahisi kusepa ni jambo rahisi kwa kitu ulichokiweka moyoni watu wanavumilia maumivu mwisho wa siku mungu anaweka rehema zake hatimaye unaipata furaha ya kudumu.
 
Hayajakukuta tu mama na wengi mnaosemaga hivi mnakamatwaga na maboya kweli yaani
 
Single mama katika kiwango cha juu kabisa akijifariji na bado utakoma wewe alokwambia ukammanulie miguu mume wa mtu ninani pambana na hali yako!
 
Wewe ni mwanamke bora kabisa.

Mke bora na mama mzuri

Ana heri mwanaume aliye/atakaye kuoa.
 
Uvumilivu is highly essential kabisa kabisa gete gete
 
Hii inaonesha si wote wasioeleweka.
 
Inapendeza kuona wanawake wenye mtazamao kama wako bado wapo
 
Hahahahah!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…