Kwanini unatumia mtandao huo wa simu

Kwanini unatumia mtandao huo wa simu

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
4,191
Reaction score
8,394
Wakuu je kwanini unatumia mtandao wa simu huo Ulipo nao Kwa sasa? Mimi nilianza na Voda na Kwa vile majority ya ndugu walikuwa Voda pia

To date Niko na Vodacom Wewe je unatumia mtandao Gani na Kwa sababu zipi zilifanya uchague mtandao huo?
 
Ninazo 4 na simu mbili, mimi siyo mlugaluga hadi nianze ubaguzi, kuhusu TTCL nimemuachia samuya na ndugu zake mbogamboga.
 
Tigo sababu kahela kangu ka mshahara kanapitia huko.
Voda Kwa sababu unatumia MB ZAKO MPAKA MWISHO.
tofauti na tigo ni wezi wa Mb.
Zikifika chini ya mia kwisha habari.ila voda mnaenda mpaka 0
 
Tigo sababu kahela kangu ka mshahara kanapitia huko.
Voda Kwa sababu unatumia MB ZAKO MPAKA MWISHO.
tofauti na tigo ni wezi wa Mb.
Zikifika chini ya mia kwisha habari.ila voda mnaenda mpaka 0
Coverage ya Voda Vipi?
 
Back
Top Bottom