Hii pia imenikuta nimerudi tu kuweka Password😂😂Nishawah wekewa kidole nikiwa usingisini alipekua akapekua mpaka basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii pia imenikuta nimerudi tu kuweka Password😂😂Nishawah wekewa kidole nikiwa usingisini alipekua akapekua mpaka basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchepuka kunasaidia kuiridhisha nafsi kwa kuonja radha tofauti
Hiyo ndoa ina umri gani?Kama ni hawara au mpenz ambae hujamuoa ni haki kumficha password ila Mimi na mke wangu sisi huwa tunaweka fingerprint za vidole vyetu wote iwe simu yake au simu yangu kwa iyo hayuna siri nikitaka yake napekua nitakavo na yy yangu anapekua atakavo hatuna hizo zenu za kufichana na haiwezekani mtu yeyote kati yetu aweke au abadilishe password asiyoijua mwwnzie ama fingerprint pekee yake no
akakuweka kidoleNishawah wekewa kidole nikiwa usingisini alipekua akapekua mpaka basi
Sent using Jamii Forums mobile app