Kwanini unatumia "fingerprint" ku-secure simu yako?

Pinkman

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
729
Reaction score
1,593
Kwa mnaotumia alama za vidole au sura kulinda data zenu, ni kweli hizo data zenu zipo salama?

Ukweli ni kwamba alama ya vidole (fingerprints) sio ulinzi sahihi kwa simu yako. Ni vyema kutumia PINs au password, simu yako itakuwa salama zaidi.

Tatizo la kutumia fingerprint ni kwamba unaweza kufungua simu yako bila hiyari yako.

1. Mtu anaweza kukulazimisha kwa nguvu kutia kidole kwenye sensor. Wazee wa michepuko, epuka kutumia hii maana ukiwa umesinzia wife anaweza gusisha kidole pale akasoma data zako.

2. Mtu anaweza kuchukua alama zako za vidole kwenye vitu mbalimbali mfano glass na akatumia kufungua simu yako.

Face lock, fingerprint lock ni hatari. Usitumie kama una siri zako.
 
Wenye kutaka Kujua yako au Kukujua wakikuamulia hata uweke nini watakipata tu kile wakitakacho. Acha Kudanganya Watu.
Anadanganya watu vipi?
Amesema fingerprint sensor haipo salama kabisa, ni bora kutumia pin au password "simu yako itakuwa salama ZAIDI".
 
Uko sahihi kabisa mkuu sijawahi kuwa na imani na hizi biometrics kabisa sijui facial au fingerprints katika kulinda chochote kile japo Hizi ndio Njia ambazo mtu kuforge ni shughuli na zina karibia asilimia 98 kwa ufanisi ila kwa swala la simu hapana kabisa PIN au Password ndio more safe mana wengine ukilewa basi Mtu atagusisha tu na kupekua vile atakavyo.
 
Kwa mnaotumia alama za vidole au sura kulinda data zenu, ni kweli hizo data zenu zipo salama?

Ukweli ni kwamba alama ya vidole (fingerprints) sio ulinzi sahihi kwa simu yako. Ni vyema kutumia PINs au password, simu yako itakuwa salama zaidi.

Tatizo la kutumia fingerprint ni kwamba unaweza kufungua simu yako bila hiyari yako.

1. Mtu anaweza kukulazimisha kwa nguvu kutia kidole kwenye sensor. Wazee wa michepuko , epuka kutumia hii maana ukiwa umesinzia wife anaweza gusisha kidole pale akasoma data zako.

2. Mtu anaweza kuchukua alama zako za vidole kwenye vitu mbali mbali mfano glass na akatumia kufungua simu yako.

Face lock, fingerprint lock ni hatari. Usitumie kama una siri zako.
Vipi ukitumie mgegedoprint? Hiyo iko salama?
 
Kwa hiyo bora kutumia mboni ya jicho?
 
Kama ni hawara au mpenz ambae hujamuoa ni haki kumficha password ila Mimi na mke wangu sisi huwa tunaweka fingerprint za vidole vyetu wote iwe simu yake au simu yangu kwa iyo hayuna siri nikitaka yake napekua nitakavo na yy yangu anapekua atakavo hatuna hizo zenu za kufichana na haiwezekani mtu yeyote kati yetu aweke au abadilishe password asiyoijua mwwnzie ama fingerprint pekee yake no
 
Back
Top Bottom