Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,308
- 27,084
Muda ni ndani ya dakika 45 mpaka 60 misa inakua ishaisha na haina mambo mengi mengi mengi, ndio misa ya wazee wa zamani na vijana wa zamani. Unapenda mambo mengi nenda misa ya 3 au ya 4.Binafisi huwa napenda kusali misa ya 1. Ibada ya misa ya kwanza huanza mapema na kuisha mapema pia.
Misa ipi yenye thawabu nyingi? Sisi waislam ukiswali kwa jamaa daraja linaengezeka. Jee nyinyi misaa ipi iliokua bora zaidi?Muda ni ndani ya dakika 45 mpaka 60 misa inakua ishaisha na haina mambo mengi mengi mengi, ndio misa ya wazee wa zamani na vijana wa zamani. Unapenda mambo mengi nenda misa ya 3 au ya 4.
Nitaenda Misaa yaTatu
Elezea vizuri hapo kwenye bold kwanza ndio nikujibu vizuriMisa ipi yenye thawabu nyingi? Sisi waislam ukiswali kwa jamaa daraja linaengezeka. Jee nyinyi misaa ipi iliokua bora zaidi?
Misaa ya tatu ya watoto sasa huyu jamaa Nitaenda Misaa yaTatuMuda ni ndani ya dakika 45 mpaka 60 misa inakua ishaisha na haina mambo mengi mengi mengi, ndio misa ya wazee wa zamani na vijana wa zamani. Unapenda mambo mengi nenda misa ya 3 au ya 4.
Nitaenda Misaa yaTatu
Thawabu ni zilezile maana Mungu anayegawa thawabu misa1 ndo huyohuyo atagawa thawabu misa mingine!Misa ipi yenye thawabu nyingi? Sisi waislam ukiswali kwa jamaa daraja linaengezeka. Jee nyinyi misaa ipi iliokua bora zaidi?
Tupe andiko wa maneno yakoThawabu ni zilezile maana Mungu anayegawa thawabu misa1 ndo huyohuyo atagawa thawabu misa mingine!
Ukiswali kwa jamaa daraja linaongezekaje?Tupe andiko wa maneno yako
Malaki 3:6Tupe andiko wa maneno yako
Na hakika kabisaMisa ya kwanza huwa haina matangazo mengi, chapchapu inafanyika na kupisha nyingine. Unapata muda wa kwenda kwenye mishe zingine mapema baada ya misa hiyo