Kwanini unapenda Fb kuliko Jf?

Tangu nilivyoifaham jf mzuka wa fb umeisha kabisa yani wakati mwingine nakata hadi wiki bila kutembelea fb ila huku jf imekuwa sehem ya maisha yani ikipita saa bila kupita nahisi km kuna kitu namis, ila jukwaa la Mapenzi na mahusiano la jf linaanza kuboa kwa kuwa na mada nyingi sn tena nyingine hazina maana kabisa
 
Fb hakuna mods, matusi ruksa, hata wazazi wako unawamiminia tu mijitusi bila kunyooshewa kidole.
Fb hawa comment, waki comment wanaandika 'thats whats up', 'thats great', whoughh, omg, wtf etc..
Vinginevyo wanabofya tu kitufe cha 'like'
 
Yaani umeongea bin kunena! Mambo iko hukuu! JF forever!
 
Sina zaidi ya hawa wa 2
Kwangu mm hiyo title yako naomba ui-reverse.
 
Fb hakuna mods, matusi ruksa, hata wazazi wako unawamiminia tu mijitusi bila kunyooshewa kidole.
Fb hawa comment, waki comment wanaandika 'thats whats up', 'thats great', whoughh, omg, wtf etc..
Vinginevyo wanabofya tu kitufe cha 'like'

Kuna Magroup meng kule ya kisiasa mazuri sana na kuna ban pia. Mie kwasasa nimekupenda kule zaidi kwasababu nipo Kama Mimi na ni shemu nzuri ya kuonyesha harakati zangu.
 
What is fb by the way??
Kwa mtu mwenye busara ukipitia majukwaa yote ya Jf, hutakuwa na muda tena wa kupoteza fb..
Maana Jf utaelimika,utaburudika,utafuhahi hata kama umenuna, yaani full of enjoyment.
Kikubwa hapa Jf nidhamu kuzingatiwa.
 
heading ingekuwa...'kwa nini naipenda fb kuliko jf'
 
thread nyingine bana. nani anapenda fb? acha hizo bana. mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…