stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 604
- 1,236
habari
naitwa Eng James niambie kwanini unaogopa kujenga ghorofa?
naitwa Eng James niambie kwanini unaogopa kujenga ghorofa?
Ziuze kwa nusu bei, hapo hautakuwa na hasara sababu nusu nyingine itahesabika umetumia mwenyeweMarine board mirunda mbao zinabakia bila kazi tena ni hasara sanaa
Siku hizi mafundi kujiita ma-engenear ni ndio fashionhabari
naitwa Eng James niambie kwanini unaogopa kujenga ghorofa?