Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,977
Kawe 😂😂Kila kona ya wapi?
Acha udesi wewe
hatma yako iko mikononi mwako - cloudsfmI think my destiny is tied up in here
Au ukauze maji kilimanjaro, utajuta.Dar es salaam ni kama mikoa mingine tu, uzuri wa daslam hata ukiuza karanga zinatoka, sasa hapo Dodoma unamuuzia nani karanga? mbeya utaitegemea biashara ya karanga? si utakuwa mgonjwa, lakini daslam hizo karanga zimeongezewa thamani zinauzika na ni biashara kubwa tu.
Daslam Kuna magodown mengi kiasi kwamba kama una nguvu zako za kubeba mizigo hela hukosi na watu wameboresha maisha kwa njia hiyo, ukizungumzia changamoto kila sehemu kuna changamoto, huko mikoani ni kweli hakuna foleni lakini barabara ni mbovu kutoka wilaya moja kwenda wilaya nyingine, ni safari ya siku nzima, mfano tu kutoka Morogoro mjini kwenda wilaya ya Ulanga/Mahenge ni shughuli pevu, wakat hapa kutoka Ilala kwenda kibindoni unatembea kwa mguu
Mzunguko wa hela daslam ni mkubwa mno, yaani mtu kukupa msimbazi sio issue kubwa, mkoani mtu atakupa msimbazi kizembe bila kumtaarifu siku tatu kabla?
SAsa mwenye akili zake timamu anaanza kabisa kusikiliza cloudsfm, hata cjui frequency zake zinasomaje?hatma yako iko mikononi mwako - cloudsfm
Nita print hii niisambaze maana kuna watu kama wamefungwa kamba huko Dar, maisha magumu na hawatoki!Dar ni sehemu yenye raha nyingi kama kulivyo na karaha nyingi pia. Japo kwangu nikipima naona karaha ndio zimezidi.
Ni kawaida sana kukuta misururu ya foleni ya watu wakigombea usafiri tena unakuta ni mida mibovu kabisa. watu wanalundikwa kwenye daladala na mwendokasi utadhani ni bidhaa. hata km una usafiri binafsi foleni ni kila kona.
Ukitaka kuwahi sehemu ili uwahi asbh kwa mfano hospitali bac hakikisha unaamka mapema sana tena ikiwezekana saa nane uko au tisa usiku.
Hali ya usafi mitaani mitaa michafu, vyoo vya paspoti na kuwekwa mapipa chini, , mapusha na wateja wao wa madawa ya kulevya, wadangaji, chemba zilizowazi zinazochangia hewa chafu ni changamoto na kero zingine lundo. Licha ya haya yote kuna mtu humtoi nje Dar!
Sasa ndugu yangu wew nini hasa kinachokufanya ung'ang'anie kuishi mahali yenye karaha hivyo.
Mnaongangania kuishi huko niwajulishe tu nje ya Dar kuna maisha pia. Tena maisha ya [emoji646] stress kabisa na kila kitu kinaenda sawa.
kwenye udesi apo bwan,, kumbe wakunyumba 🤣,, kamweneKila kona ya wapi?
Acha udesi wewe
kwenye udesi apo bwan,, kumbe wakunyumba 🤣,, kamwene