Kwanini unachepuka?

Wife angekuwa ananipangia ratiba kula papuchi.
AISEE

ningekuwa nishaanza huo utaratibu zamani tuu,sema mdada wa watu hana nyodo.
Nikitaka papuchi nakula,akitaka mnofu nampa.
CASE CLOSED
🏃🏃
 

Na ww kama kawaida, mwendo ule ule kama jamaa yako
 
Embu tuambie hapa, kitu gani kinacho kufanya uchepuke kwa mpenzi au mme/ mke wako?

Mimi huwa nachepuka pale mpenzi wangu anavyo kuwa mbali Na mimi.
Sababu siwezi kula Chakula hicho hicho kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…