Ukiangalia jinsi mambo yalivyo kwa undani,kuhusu miti,wadudu,wanyama,ndege,binadamu,bahari,anga,upepo,madini nk...l
Mana mpaka leo...watu wa dini hawajui Mungu/Allah alitoka wapi,lakini pia wanasayansi nao hawajui chanzo cha sayari na nyota na viumbe vingine.
Kwa ufupi mpaka sasa hakuna taarifa sahihi kuhusu Mungu na Dunia
Niliposema mantiki nilimaanisha logic kwa Kiingereza....Mkuu eiyer
Tuweke wazi hapa mantiki hiyo,binafsi itanisaidia
Shukran
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
MkuuNiliposema mantiki nilimaanisha logic kwa Kiingereza....
Mtu yoyote anayetafakari kwa kiasi kidogo tu hawezi kabisa kufikiria kukubali vitu kuwepo tu hivi hivi bila mwanzilishi....
Dunia na ulimwengu kwa ujumla wake una kanuni ambazo ndiyo zinatufanya hata hapa kupiga makelele kuwa hakuna Mungu.Hizi kanuni zote ambazo ziko imara hivyo hivyo miaka yote na ambazo tunazitumia,kimantiki haziwezekaniki kuwepo tu hivi hivi....
Yaani ni mtu mwenye malengo hasi tu na uwepo wa muwekaji wa kanuni hizi atakataa uwepo wa muwekaji....
Inashangaza sana mtu anarudi kutoka nyumbani anakuta mlango tena uliotengenezwa na binadamu upo wazi wakati asubuhi aliufunga aanze kutafiti aliyeufungua na asiingie ndani na kuendelea na mambo yake kama kawaida akiamini kuwa mlango ulijifungua wenyewe,halafu mtu huyo huyo anaamini ulimwengu huu mkubwa namna hii na kanuni zake zote za kustaajabisha uwepo tu bila aliyeweka yote haya.....
Vitu vingine ni vya kutaajabisha sana....
Ungejiuliza kwanini ulijikuta unatumia jina unalotumia na haujalikataa? Au kwanini hujiulizi ilikuwaje ukazaliwa mwafrica na siyo ulaya, au kwanini kwenu na siyo familia ya kwa jirani..???Unajua wengi tumekua na kukuta utaratibu ambao umewekwa na walitutangulia.
Wengi tumedumisha imani ambazo tumezikuta mwenye jamii yetu.
Hivi ulishawahi jiuliza kwanini www ni dini hiyo unayoiamini?
Je unahisi km ungezaliwa dini nyingine ungebadili?
Je mpaka sasa unaamini dini yako ndio sahihi? Kwanini?
Je Kitu gani hasa kinakufanya uamini Mungu yupo?
Cc Kiranga, Al-Watan, Apollo, ONTARIO @jimeena
Bila geography ungejua kwamba dunia ndo sayari pekee ambyo watu wanaishi?mnaamini wansoamini Mungu wamekalilishwa wkt na nyie mmekalilishwa..Viumbe wengine!!!kina nani hao? Me najua dunia ndio sayari inayowezesha viumbe kuishi sababu kuna uhai. Hao viumbe wengine mi siwajui zaidi ya kusoma dhana za kufikirika, Hivyo swali lako ni imagination na unaweza kujijibu kwa kuimagine
Nani aliyeumba uyo original designer?Mkuu
Upo sahihi,inashangaza wanasayansi huiga hutengeneza vitu kwa kuiga viumbe hai,lakini wanakataa kuwepo kwa original designer
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Science still can't explain why living things die , why a dead body can't be brought into life again while some organs in a fresh dead body can be transplanted into a living body and continue to function as usual.., Absolutely there are several things beyond science!Nani aliyeumba uyo original designer?
Kama unauliza chanzo chetu ninini, basi jiulize na chanzo cha huyo mungu ninini!!
Ukisema mungu hana chanzo, bado una maswali zaidi ya bilion moja, ambayo hutopata majibu!!
We unampangia sasa?Mungu kama yupo,hana haja ya kujificha inabidi ajidhihilishe tu aseme alitoka wapi na yuko wapi.
Coz my intuition tells me that.Unajua wengi tumekua na kukuta utaratibu ambao umewekwa na walitutangulia.
Wengi tumedumisha imani ambazo tumezikuta mwenye jamii yetu.
Hivi ulishawahi jiuliza kwanini www ni dini hiyo unayoiamini?
Je unahisi km ungezaliwa dini nyingine ungebadili?
Je mpaka sasa unaamini dini yako ndio sahihi? Kwanini?
Je Kitu gani hasa kinakufanya uamini Mungu yupo?
Cc Kiranga, Al-Watan, Apollo, ONTARIO @jimeena
Umevurugwa wewe. Hakuna swali lenye mashiko umeuliza hapo. Pumba tupuUnajua wengi tumekua na kukuta utaratibu ambao umewekwa na walitutangulia.
Wengi tumedumisha imani ambazo tumezikuta mwenye jamii yetu.
Hivi ulishawahi jiuliza kwanini www ni dini hiyo unayoiamini?
Je unahisi km ungezaliwa dini nyingine ungebadili?
Je mpaka sasa unaamini dini yako ndio sahihi? Kwanini?
Je Kitu gani hasa kinakufanya uamini Mungu yupo?
Cc Kiranga, Al-Watan, Apollo, ONTARIO @jimeena
sheria hazijawekwa na mungu, zimewekwa na binadamUkitaka kuamini kama mungu yupo jiulize kwann aliweka sheria ili tutakapo zivunja tuhukumiwe? Na hukumu inakuja baada ya kifo? Nakwann hakuna aliekufa akarudi kutueleza Hali iko vipi huko
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Unajua wengi tumekua na kukuta utaratibu ambao umewekwa na walitutangulia.