Kwanini umpe mwanamke hela?

Kuna sehemu mwenye net umeambiwa umpe mwanamke hela? Mkuu huna za kutoa piga kimya usitake kila mtu awe na roho mbaya kama yako mimi ntampa mwanamke yeyote ninayemtumia ni moyo wa upendo na kutoa nasikitika kama ww ni mtu mzima alafu ushindwe kumpa demu kalaki akaenjoy weekend πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukitoa hupungukiwi chochote mkuu ni moyo tu ni kama unavyosaidia maskini wasiojiweza sasa mtu anakupa penzi anakupeleka kwenye vilele vya raha unaona soo kumpa hela acha ubahili usio na mbele wala nyuma
 
Mimi nitabaki kukwaambia Gen Z ni wajinga πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† , mbona unajidefine mwenyewe. Hamkamilishi maandiko ila mnayafupisha kukidhi matamanio yenu. Gen Z ni wajingaπŸ˜†πŸ˜†
 
Mimi nitabaki kukwaambia Gen Z ni wajinga πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† , mbona unajidefine mwenyewe. Hamkamilishi maandiko ila mnayafupisha kukidhi matamanio yenu. Gen Z ni wajingaπŸ˜†
Maskini unatia huruma sana
 
Ili upewe 0715
Ili upewe 0715
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…