Super Tuesday JF-Expert Member Joined Apr 5, 2016 Posts 636 Reaction score 727 Apr 26, 2016 #1 Siku hizi katika lugha ya kimjini mjini kwa maana ya lugha isiyo rasmi umbea unaitwa ubuyu, ningependa kujua kwasababu gani umbea siku hizi unaitwa pia ubuyu?
Siku hizi katika lugha ya kimjini mjini kwa maana ya lugha isiyo rasmi umbea unaitwa ubuyu, ningependa kujua kwasababu gani umbea siku hizi unaitwa pia ubuyu?
Kamkuki JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 1,957 Reaction score 1,431 May 1, 2016 #2 Nafikiri ni kwa sababu!