secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 24,455
- 52,334
Nimeweweseka hata nikaanguka chini.Nmelia sana ðŸ˜
Nimeweweseka hata nikaanguka chini.Nmelia sana ðŸ˜
Pole sana mkuu🤕Nmelia sana ðŸ˜
Mtaniua aiseeee.. 😀 😀. Au ndo unataka nife uje msibani kwangu utoe sifa kem kemNimeweweseka hata nikaanguka chini.
Nikiona msiba umejaza watu kwa nini nisitangaze mkuu.Mtaniua aiseeee.. 😀 😀. Au ndo unataka nife uje msibani kwangu utoe sifa kem kem
well saidThread 'Wengi hawajui kwanini mtu akifa hufanyiwa mema sana, muda mwingine gharama ya mazishi ni kubwa zaidi pesa aliyoikosa kwa matibabu mpaka akafa. Come on' Wengi hawajui kwanini mtu akifa hufanyiwa mema sana, muda mwingine gharama ya mazishi ni kubwa zaidi pesa aliyoikosa kwa matibabu mpaka akafa. Come on
Pole sana mkuu, Haya mambo yanasikitisha sana ðŸ˜Nimeweweseka hata nikaanguka chini.
Itabidi tuyazoee tu.Pole sana mkuu, Haya mambo yanasikitisha sana ðŸ˜
Du!nakumbuka mwaka juzi nilikufa bahati mbaya, kwenye mseba wangu wakasema nilikua nafanya kazi za kujitolea, nilikua kijana mwema mcha Mungu.. nilishangaa namchaje Mungu akati me mpagani