wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,970
- 3,682
- Thread starter
- #21
Ukweli ni dawa chungu saana ya kuponya unafiki.. inatakiwa wabongo tujifunze kuinywa kwa lazimaSifa za mtu zutajwe kama zilivyo na unafiki uachwe mara Moja.
Mtu akiwa fasadi hata akifa kwenye msiba wake basi aendelee kuitwa fisadi.
Naomba tusimame katika ukweli bila kupindusha mambo bila kujalisha tuko sehemu gani.