Kwanini umaskini na si Maisha ya kawaida

Kwanini umaskini na si Maisha ya kawaida

Huu mfumo wetu kijana anapokosa ajira anakuwa ni kama mlemavu hawez chochote tena hakuna ubunifu wa kutengeneza hela ni wachache sana wanaokuwa na uwezo huo
Mfumo wa ajira ukifumuliwa jamii nzima itashake, na kuna tatizo litajitokeza ndani ya muda fulani ukipita litaonekana mana haoa wasomi wanatoka kwenye elimu kwenda kufany kazi taasisi zote za jamii. Kinacholeta tija hapo labda ni kiongezewa maarifa mapya ya kuikabili mitaa kwa crafts na artisan skills ili wasiwe tegemezi kabisa

Elimu ya kujitegemea, miradi wezeshi na kujengea uwezo vijana ni ahueni ya kikundi cha watu ambao ni too vulnerable katika jamii ya maskini. Elimu ya kumjengea mtu uwezo wa kupambana na hali yoyote ya maisha sio informal ni formal. Hata mzazi anaweza kuwa mwalim
 
Wanajifunza vitu visivyoweza kuufungua ufahamu wao juu ya mazingira yao waone fursa tele zilizopo
We unazungumzia Chakra na elimu nyota sio?. Fursa tele ni zaidi ya ufaham wa mtu, na facilities au resources alizo nazo. Mm naamin si kama vijana hawaon fursa tele zilizopo, swala fursa hizo zinahitaji mtu mwenye vitendea kazi vya aina gan
 
Msingi wa mtaji wa mwanadamu ni kitu inaitwa 4H.
1.HEAD
2.HAND
3.HEART
4.HEALTH
Ili ufanikiwe inatakiwa umatch vifuatavyo. WAZO +NIA + DHAMIRA+MATENDO
Ukiwa na dhamiri usubiri mtaji.
Vijana wanataka connection ziwafate vitandani huku wanachati.
So vitendea KAZI ndo hio 4H.
Falsafa ya kichina inasema ukitaka kulima usisubirie jembe litakuja.
 
Vijana inatakiwa wafundishwe elimu zingine za kushape mind zao ili kuwaoanisha na mazingira ili waone fursa.
 
Msingi wa mtaji wa mwanadamu ni kitu inaitwa 4H.
1.HEAD
2.HAND
3.HEART
4.HEALTH
Ili ufanikiwe inatakiwa umatch vifuatavyo. WAZO +NIA + DHAMIRA+MATENDO
Ukiwa na dhamiri usubiri mtaji.
Vijana wanataka connection ziwafate vitandani huku wanachati.
So vitendea KAZI ndo hio 4H.
Falsafa ya kichina inasema ukitaka kulima usisubirie jembe litakuja.
Unazungumzia afrika mkuu, third world countries. Ukiweka argument usisahau kuhusu context. Kuna vitu vingi China vinawezekana lakin Afrika vinakula msamba kila kukicha. Hapo mbele ya Matendo nashauri uweke na MATOKEO mana ukiacha hivyohivyo matokeo yanaweza kuwa "Uncertainties".

Kuwa na wazo la hela ni kitu kimoja, kulitekeleza ni kitu kingine, mpaka kuja kupata matokeo ya wazo hilo unaweza kujikuta mdomo ushapinda na mkono unafanya kazi ya mguu. Experience ya hapa Afrika ni tofauti sana mzee
 
Malezi yetu waafrika pia yana mchango mkubwa sana kutufanya tuzidi kuwa masikini.
Wazazi wa kiafrika wanaua vipawa vya watoto na sio kuvikuza kama jamii zingine
Nyumbani panatakiwa pawe ni chuo cha kujifunza ujuzi wa maisha kwa kupitia uzoefu wetu wa maisha.
Pamekuwa ni sehemu ya kuua ndoto za watoto kupitia kauli na matendo toka kwa walezi.
Mtoto uambiwa
Acha, huwezi,mbwa wewe,utaumia,toka hapa na sio kutiwa moyo.
 
Back
Top Bottom