Hii ni story ndefu mkuuNakumbuka ilikuwa 2009 nikiwa kidato cha tano,tulikuwa kwenye gar na mke wa mjomba wangu ndo akapigiwa simu mme wake.Wakapiga story kwa muda baadae wakaanza kumzungumzia jamaa yetu aliyekuwa masomoni Marekani kwamba amerejea na bado hajapata kazi,hapo ndo huyo aunt wangu akasema labda huyo jamaa awe anapitia Jamii forum ili aweze kuona matangazo ya ajira. Hilo jina Jamii forum lilinikaa kichwani mpaka nilipoenda chuo nikawa na access ya internet ndo nikaanza kuitumia JF
senty from my Iphone 7 using jamii forum app
Hahaaaa kwahiyo saiv huwaogopi mkuuDah Nimeanza Kusoma Nyuzi Tangu 2010 Ila Sasa Vinokia Nlivokua Natumia Kipindi Icho Hata Nlikua Sielew KuRegister Na Nlikua Siwez. Bas Nkipata Access Ya Internet Nasearch Jamiiforums. Nkawa Nakumbuka Na Kusahau Nakumbuka Nasahau. Mpaka 2011 Nlipoamua Kufuatilia Seriously. Ila Kusema Ukweli Mwanzoni Nilidhani Watu Walio JF Ni Wakenya Au Watanzania Waliopo Nje Ya Nchi,Au Wasomi Sanaaaaaa!!!
Nlikua Nawaogopa Sana Yani!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni chaiNiliijua tokea tumbon mwa mama angu nahisi alikua mtumiaji wa jf
Aisee hata mimi kanishangaza sana huyu jamaahahahahahah so wewe unaogopa wasomi?
nauliza tu
Ha ha mkuu kwenye simu wewe ni kama Mimi dah nilikuwa natumia Nokia express music! Kipindi hiko majina ya JF yalikuwa yakunitesa haswa kuyakariri kumchwa.Dah Nimeanza Kusoma Nyuzi Tangu 2010 Ila Sasa Vinokia Nlivokua Natumia Kipindi Icho Hata Nlikua Sielew KuRegister Na Nlikua Siwez. Bas Nkipata Access Ya Internet Nasearch Jamiiforums. Nkawa Nakumbuka Na Kusahau Nakumbuka Nasahau. Mpaka 2011 Nlipoamua Kufuatilia Seriously. Ila Kusema Ukweli Mwanzoni Nilidhani Watu Walio JF Ni Wakenya Au Watanzania Waliopo Nje Ya Nchi,Au Wasomi Sanaaaaaa!!!
Nlikua Nawaogopa Sana Yani!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wana wivu sana mkuu yaan mtu unamuuliza haya mstory wayatoa wapi mtu hakwambii nilikuwaga nachukia kinomaMie nilikuwa nasikia kijiweni kila siku. Umeona alichoandika kule Jambo Forums yule Mzee ES? Nikiuliza washkaji wananitolea nje hawaniambii kitu wanasema we tinga jambo forums ukamsome Mzee ES. Ilikuwa inaniudhi sana mpaka nikahisi walikuwa wanaitangaza Jambo Forums. Basi siku moja nikatinga humu kuja kumsoma Mzee ES AKA Le Mutuz hahahahahaha lol! Basi nikawa natafuta kusoma posts za Le Mutuz tu lol! wakati ule alikuwa anashusha nondo zenye shibe basi nikajikuta nimelowea. Wakati ule wanachama hata 200 hawafiki akina dada hata 10 hawakufika. Basi kulikuwa na mkakati humu wa kuongeza idadi ya akina dada. Leo hii wamejaa tele toka wanachama mia na kitu sasa tunakimbizana na 400k si hapa hata kidogo.
AhahhahahahNilipigiwa simu na Dj khaled akaniambia nijiunge JF
Kuna watu wana wivu sana mkuu yaan mtu unamuuliza haya mstory wayatoa wapi mtu hakwambii nilikuwaga nachukia kinoma
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli
Umenichekesha sana tu,eti watu wa jf ni wasomi saaanaDah Nimeanza Kusoma Nyuzi Tangu 2010 Ila Sasa Vinokia Nlivokua Natumia Kipindi Icho Hata Nlikua Sielew KuRegister Na Nlikua Siwez. Bas Nkipata Access Ya Internet Nasearch Jamiiforums. Nkawa Nakumbuka Na Kusahau Nakumbuka Nasahau. Mpaka 2011 Nlipoamua Kufuatilia Seriously. Ila Kusema Ukweli Mwanzoni Nilidhani Watu Walio JF Ni Wakenya Au Watanzania Waliopo Nje Ya Nchi,Au Wasomi Sanaaaaaa!!!
Nlikua Nawaogopa Sana Yani!!
Sent using Jamii Forums mobile app