Namtumbo baby haahaaaa wanichekesha sana mkuuMimi nilijikuta nipo JF
Namtumbo baby.
Duh ndo nan huyo au yule wa linexNilipigiwa simu na Dj khaled akaniambia nijiunge JF
Uyo uyo mkuu
Hembu zitaje...?kuna zaidi ya nne za aina hii
Me nilikua na mshikaji tunaOngelea mambo ya siasa kumhusu zito kabwe ndio akasema tena nimeona jamii forum huyu jamaa kateuliwa kua mwenyekiti kamati ya madini!!!!!!! Enzi izo zawahenga wakina jk..Aman iwe nanyi wakuu wa jukwaa katika bwana
Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu
Kila binadamu hujiunga mtandao anaoupenda kwa wakati wake na sababu zake kuna wengine hujiunga mitandao fulan ili wapate mademu kwa urahis, wengine hujiunga ili watoe darasa na wengine ili wapige hela, hawa wanaopiga hela wana njia njia nyingi lakin wengi ni kutapel watu
Mimi nilijuanga humu ndan ili nipate kuchangia mambo fulan hasa ya din na siasa na wakati najiunga humu kipindi hicho mijadala ya din na siasa ilikuwa imepamba moto ile mbaya
Wapi niliijulia jamii forum niliijulia mozambiqe nikiwa nimekaa na masela sasa kuna jamaa mmoja alikuwa anajua vitu vingi sana kitendo kilichopelekea nimuulize wewe jamaa mambo haya huyatolea wapi jamaa alilinga kunambia lakin mwisho wa siku alinambia kuwa ni jamii forum hapo hapo nilianza kuitafuta jamii forum na kujiunga mazima
Nawe waweza sema kwanini ulijiunga na wapi kitu gan kilikushawishi
Nawasilisha
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app
nimekuelewakuna zaidi ya nne za aina hii
Hao great thinkers uliwajuaje?Nlitaka kufahamu tu hao great thinkers na michango yao
Sent from my lPHONE using JamiiForums mobile app
hahahahahah so wewe unaogopa wasomi?Dah Nimeanza Kusoma Nyuzi Tangu 2010 Ila Sasa Vinokia Nlivokua Natumia Kipindi Icho Hata Nlikua Sielew KuRegister Na Nlikua Siwez. Bas Nkipata Access Ya Internet Nasearch Jamiiforums. Nkawa Nakumbuka Na Kusahau Nakumbuka Nasahau. Mpaka 2011 Nlipoamua Kufuatilia Seriously. Ila Kusema Ukweli Mwanzoni Nilidhani Watu Walio JF Ni Wakenya Au Watanzania Waliopo Nje Ya Nchi,Au Wasomi Sanaaaaaa!!!
Nlikua Nawaogopa Sana Yani!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa,watu wa JF zamani walikuwa wakichangia post zao zilikuwa za upeo wa hali juu sana. Sasa hivi wanafunzi wa sekondari wamekuwa wengi na kuleta mzaha.Dah Nimeanza Kusoma Nyuzi Tangu 2010 Ila Sasa Vinokia Nlivokua Natumia Kipindi Icho Hata Nlikua Sielew KuRegister Na Nlikua Siwez. Bas Nkipata Access Ya Internet Nasearch Jamiiforums. Nkawa Nakumbuka Na Kusahau Nakumbuka Nasahau. Mpaka 2011 Nlipoamua Kufuatilia Seriously. Ila Kusema Ukweli Mwanzoni Nilidhani Watu Walio JF Ni Wakenya Au Watanzania Waliopo Nje Ya Nchi,Au Wasomi Sanaaaaaa!!!
Nlikua Nawaogopa Sana Yani!!
Sent using Jamii Forums mobile app