Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Usipotangaza ndio unakuwa forgiven?
 
Ulichokiongea ni kikubwa kuliko vichwa vya waaminio wengi mkuu.
 
Nina maswali yaliyokosa majibu ndio maana na hakuna aliyeweza kunijibu kwa ufasaha maswali yangu. Nadhani miaka ya hivi karibuni nitahamia kule...
 
mimiamadiwenani niliacha kuamini mungu yupo baada ya kuona video fulani kisha kufanya utafiti wangu.... kiukweli niseme tu, naona maisha yangu yamekua bora zaidi sasa ambavyo siamini kwenye mambo ya mbinguni na kuzimu
Mfano ukafungua biashara kubwa hapo ulipo, je, utatumia nguvi ipi isiyoonekana kuilinda?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Kusema kweli mchungaji wangu alifumaniwa na MKE wa mtu, kuanzia hapo nikaona kwenda kanisani ni kupoteza muda tu na kuliwa sadaka zangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…