Maaskofu wakatoliki wamewasaliti waumini kwa kuogopa dola. Since 2016 imani yangu kwa kanisa na kuhudhuria ibada ilitetereshwa..
Wengi wanaenda kanisani kuogopa kutokuzikwa na kanisa either kwa wao wrnyewe watoto wao au ndugu..Ninyi endeleeni tu kutokwenda kanisani kwa amani, hakuna anayewahukumu, japokuwa naamini hapa yenyewe nafsi zenu zinawasuta ndiyo maana mnajifanya kutafuta justification tu ya matendo yenu hamna lolote..!
Uko sahihi mkuu, hawa jamaa ndio pekee waliojitenga na siasa za kutukuza watawala na kusimama katika imani yaoNi wasabato pekee waliobaki nje ya siasa za kusifu na kuabudu!
Mwali, hivi uliwahi kubahatika kutazama kile kipande cha movie alio ifanya askofu Rashid..??Ninyi endeleeni tu kutokwenda kanisani kwa amani, hakuna anayewahukumu, japokuwa naamini hapa yenyewe nafsi zenu zinawasuta ndiyo maana mnajifanya kutafuta justification tu ya matendo yenu hamna lolote..!
Ibada inafanyika kokote penye utulivu... sadaka iliyo kamili ni ile unayo itoa kwa moyo...ata ukimtumia mdogo wako pocket money shule kwa moyo basi ni sadaka sio lazima kujengea mapadri ma castle while kwenu mnakula ugali na chumvi uo kingreza inaitwa
Burden
Haha..Mwali, hivi ukiwahi kubahatika kutazama kile kipande cha movie alio ifanya askofu Rashid..??