kwa sababu pesa ni sabuni ya roho. Roho chafu huwa haithaminikiWakuu Kama kichwa cha Uzi kinavyosomeka hapo juu
Hivi Ni kwa nini mtu ukiwa huna pesa ,yaani ninamaanisha ukiwa na maisha duni unadharaulika?
Na hili utaliona kuanzia ngazi ya familia,jamii inayokuzunguka na muda mwingine hata kwenye nyumba za ibada
Ni kwa nini mtu Kama huna kitu watu wanashindwa kuthamini hata utu wako?
Hongera yako mkuu kwa kutekenya ukuta
Daaaah!! Lakini itakuwa kwelikwa sababu pesa ni sabuni ya roho. Roho chafu huwa haithaminiki
Angalia coroma kwenye hizo buttons. Ukitoka hapa kaoshe hizo pesa kwa sabuni ya maji
Nature imefanyaje mkuu?Nature!
Sio kweli mkuu,dharau zipohakuna anaekudharau mkuu..ni kwamba unajishtukia tu.
umefanya uhakiki ?Daaaah!! Lakini itakuwa kweli
Na
Nature imefanyaje mkuu?
Kwa hiyo mkuu wasio kuwa na pesa maana yake Wana roho chafu?umefanya uhakiki?
Kwa hiyo mkuu wasio kuwa na pesa maana yake Wana roho chafu ?umefanya uhakiki ?
Hata Mungu, roho zote chafu huwa anazitupa motoni.kwa sababu pesa ni sabuni ya roho. Roho chafu huwa haithaminiki
shetani nae alitupwa motoni?Hata Mungu, roho zote chafu huwa anazitupa motoni.