Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,216
- 3,117
We jamaa we..tunaishi maisha sawa kabisa...sina habari na ndugu hata awe ni millionea...
Asante kwa kuonyesha ugonjwa wangu mkuuNi ugonjwa mbaya sana tena uogope sana huo ni hatari mno sio lazima uwaombe pesa ndugu zako hata ukiwapigia simu kuwasalimia inatosha unawatania tu wakununulie vocha vitu vidogo sana unavyoona wanaweza kuvimudu,Nakushauri hivyo sababu ya future ya kizazi chako hakuna kitu kibaya kama upweke unaweza usikukute ww ila ukaangukia kwa uzao wako.Ila Inaonekana una tatizo la ubinafsi
Utaniwia radhi kidogo nimetumia neno ugonjwa ili ukubali tatizo na uone linahitaji ufumbuzi.Simaanishi utoe msaada ila why ukae kimya akati unajua kuna watu wanahitaji kuskia sauti yako Lugha ndio inayotuunganisha binadamu.Nimesema hivyo sababu Nina Mifano hai ndugu kama unavyojua familia zetu za kiafrika kuna mzee mmoja alikuwa na kazi nzuri sana na Biashara zake miaka ya 80 aliamua kuwasaidia wajomba zake kielimu,Miaka hiyo hakuna hata mawasiliano ya simu kirahisi kama sasa.Baada ya Muda wa miaka kadhaa yule mzee aliharibikiwa Sana hadi Leo akili hazijarudi lakini wajomba wale hawakusahau wema ule wamemsomesha kijana wake na kumpa kazi taasisi nyeti sana kijana sasa kamrudisha Baba yake Sawa.Ni kweli ndugu wanakera ila kuwa na Busara tu utaishi katika mioyo ya watu kizazi na kizazi.Asante kwa kuonyesha ugonjwa wangu mkuu
Ila ingependeza pia ungechambua pia hoja ya msingi, coz haya mengine ni maisha niliyoyachagua
That's your case, ziko cases nyingi tu za watu kujicommit kusaidia ndg kama mshumaa na return yao ni lawama tu na kuzalauliwa hadi wanakufaUtaniwia radhi kidogo nimetumia neno ugonjwa ili ukubali tatizo na uone linahitaji ufumbuzi.Simaanishi utoe msaada ila why ukae kimya akati unajua kuna watu wanahitaji kuskia sauti yako Lugha ndio inayotuunganisha binadamu.Nimesema hivyo sababu Nina Mifano hai ndugu kama unavyojua familia zetu za kiafrika kuna mzee mmoja alikuwa na kazi nzuri sana na Biashara zake miaka ya 80 aliamua kuwasaidia wajomba zake kielimu,Miaka hiyo hakuna hata mawasiliano ya simu kirahisi kama sasa.Baada ya Muda wa miaka kadhaa yule mzee aliharibikiwa Sana hadi Leo akili hazijarudi lakini wajomba wale hawakusahau wema ule wamemsomesha kijana wake na kumpa kazi taasisi nyeti sana kijana sasa kamrudisha Baba yake Sawa.Ni kweli ndugu wanakera ila kuwa na Busara tu utaishi katika mioyo ya watu kizazi na kizazi.
dah jamaa hajakuelewa kabisa! baadhi ya watu hawafahamu lengo la maisha, wanafikiri lengo ni kuyafurahia tu maisha na kibaya zaidi wanaona kuwa na pesa, nyumba na magari hukamilisha lengo la maisha.Utaniwia radhi kidogo nimetumia neno ugonjwa ili ukubali tatizo na uone linahitaji ufumbuzi.Simaanishi utoe msaada ila why ukae kimya akati unajua kuna watu wanahitaji kuskia sauti yako Lugha ndio inayotuunganisha binadamu.Nimesema hivyo sababu Nina Mifano hai ndugu kama unavyojua familia zetu za kiafrika kuna mzee mmoja alikuwa na kazi nzuri sana na Biashara zake miaka ya 80 aliamua kuwasaidia wajomba zake kielimu,Miaka hiyo hakuna hata mawasiliano ya simu kirahisi kama sasa.Baada ya Muda wa miaka kadhaa yule mzee aliharibikiwa Sana hadi Leo akili hazijarudi lakini wajomba wale hawakusahau wema ule wamemsomesha kijana wake na kumpa kazi taasisi nyeti sana kijana sasa kamrudisha Baba yake Sawa.Ni kweli ndugu wanakera ila kuwa na Busara tu utaishi katika mioyo ya watu kizazi na kizazi.
Ebu tujuze ndg, lengo la maisha ni nndah jamaa hajakuelewa kabisa! baadhi ya watu hawafahamu lengo la maisha, wanafikiri lengo ni kuyafurahia tu maisha na kibaya zaidi wanaona kuwa na pesa, nyumba na magari hukamilisha lengo la maisha.