Tunasikilizia utamuNaomba Miongoze Kwa Hili...
Pale mtu anapomkisi mtu sana sana mpenzi wake yaan wakat wa romance yaan denda basi lazima ufumbe macho ni nn shida?
Ndio maana Aishawarya Bachchan (Mke wa mtoto wa Amitabh BAchchan) alipokisiana na mmoja wa watu wake (yeye Aisha) mama mkwe (Jaya) mama yake Abisheki (mumewe Aisha) aliwaka mno (like why you want to feel it???Hisia mwanangu mwenyewe busu bila kufumba macho halina maana yoyote. Busu linasikiliziwa akilini na lazima ufumbe macho kama unasali vile ndio utaipata thamani yake vizuri
wewe utakuwa mdosi au house gelo wa wadosiNdio maana Aishawarya Bachchan (Mke wa mtoto wa Amitabh BAchchan) alipokisiana na mmoja wa watu wake (yeye Aisha) mama mkwe (Jaya) mama yake Abisheki (mumewe Aisha) aliwaka mno (like why you want to feel it???