Anza wewe tuoneKila mara nimekuwa nikimsikia Lowassa, Mbowe, Mbatia &Co. wakisema kwamba wameibiwa kura kwenye uchaguzi uliopita lakini bila kutoa ushahidi wowote ule, sasa nauliza ni kwa nini wasishitakiwe kwa uzushi ambao wanajaribu kuwaaminisha baadhi ya watu mambo ya Uongo?
Hivi sasa kuna baadhi ya wananchi wamepoteza Imani na Serikali na vyombo vyake kwa sababu ya tuhuma za ukawa kwamba serikali yetu iliiba kura wakati mpaka leo hii ukawa hawajaonyesha ushahidi wowote ule. Sasa hamna sheria ya kuwashitaki?
Sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anaamini UKAWA kuwa wameibiwa kura. Hivyo serikali imeamua kukaa kimya ikiwa ni jibu bora kabisa kwa mtu mpumbavu. Mtu mpumbavu dawa yake sio kumjibu....ni kukaa kimya tu.
Kila mara nimekuwa nikimsikia Lowassa, Mbowe, Mbatia &Co. wakisema kwamba wameibiwa kura kwenye uchaguzi uliopita lakini bila kutoa ushahidi wowote ule, sasa nauliza ni kwa nini wasishitakiwe kwa uzushi ambao wanajaribu kuwaaminisha baadhi ya watu mambo ya Uongo?
Hivi sasa kuna baadhi ya wananchi wamepoteza Imani na Serikali na vyombo vyake kwa sababu ya tuhuma za ukawa kwamba serikali yetu iliiba kura wakati mpaka leo hii ukawa hawajaonyesha ushahidi wowote ule. Sasa hamna sheria ya kuwashitaki?
Ushahidi unatolewa wapi?Kila mara nimekuwa nikimsikia Lowassa, Mbowe, Mbatia &Co. wakisema kwamba wameibiwa kura kwenye uchaguzi uliopita lakini bila kutoa ushahidi wowote ule, sasa nauliza ni kwa nini wasishitakiwe kwa uzushi ambao wanajaribu kuwaaminisha baadhi ya watu mambo ya Uongo?
Hivi sasa kuna baadhi ya wananchi wamepoteza Imani na Serikali na vyombo vyake kwa sababu ya tuhuma za ukawa kwamba serikali yetu iliiba kura wakati mpaka leo hii ukawa hawajaonyesha ushahidi wowote ule. Sasa hamna sheria ya kuwashitaki?
Ushahidi unatolewa wapi?
Polisi au mahakamani?
Nimesikia kuna wagombea wamefungua kesi za uchaguzi, je hawatakuwa na vielelezo na ushahidi wa kuuwasilisha huko mahakamani?
Lakini CCM wanahitaji ushahidi?
Maalim Seif ana ushahidi na vielelezo vyote kuwa ameshinda uchaguzi, ameviweka hadharani, imesaidia nini?
Kama hujaviona tafuta uzi mmoja wa dada Faiza, kuna mJF mmoja ameweka ushahidi huko.
Kwa nini unakimbilia Zanzibar? Kama ningetaka kujadili kuhusu Zanzibar ningefanya hivyo! Kama unavyosema ni kweli kwamba Seif ameweka ushahidi hadharani ni kwa nini basi ukawa nao wasifanye hivyo huku wakisubiri kwenda Mahakamani?
Umekimbia swali.Kwa nini unakimbilia Zanzibar? Kama ningetaka kujadili kuhusu Zanzibar ningefanya hivyo! Kama unavyosema ni kweli kwamba Seif ameweka ushahidi hadharani ni kwa nini basi ukawa nao wasifanye hivyo huku wakisubiri kwenda Mahakamani?
Kama JPM angekuwa anajiamini hivyo si angemruhusu Lowasa ataapike nyongo yake hadharani pale Jangwani?? Mbona mnamzuia? Huo ushahidi auweke wapi kama sio hadharani tuujue tujinyamazie?? Nenda sasa weye mahakamani
UKAWA ni wa ajabu sana. Baada ya kukosa ushindi kwenye sanduku la kura, wanatafuta ushindi barabarani na kwanye vijiwe vya kahawa.
Umekimbia swali.
Nimeuliza kwa CCM ushahidi unasaidia nini? Kutenda haki?
Goli la mkono maana yake nini?
Kwa nini NEC ilikimbilia kutangaza matokeo bila kusikiliza malalamiko ya Lowassa?