Kwanini UKAWA hawazungumzii waliotaka kuvuruga uchaguzi wa Rais wa JMT?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,951
29,532
Kuna siri gani iliyojificha hapa?

Pengine leo Tanzania bara ingekuwa inarudia uchaguzi baada ya kundi la ma-IT kutoka ndani na kushirikiana na watu kutoka nje kujaribu kuchakata matokeo.

kwa nini kina Ocampo four hawazungumziwi tena?
 
Ilibidi wenye shughuli zao waingie kazini ili kupambana na umafia mchafu sana. Urais ulitafutwa kiasi cha watu wenye taaluma chafu kuajiriwa kutoka mataifa makubwa. Yaliyotokea yaoanishwe na swali ambalo JK aliulizwa na wazungu kwanini huu usiwe muda wa CCM kuondoka madarakani baada ya kuongoza nchi kwa miaka mingi, Mugabe mzee wa Afrika anayasema haya wazi mbele ya watu. Hii ni hatari maana yake ni kwamba awamu ya tano inabidi ipige kazi kwelikweli ili kuhalalisha uwepo wa CCM. Wa ndani na wa nje wanashirikiana kwa pamoja katika kuihujumu nchi hii. Cha muhimu ni kuwa macho masaa yote maana hakuna ajuaye siku wala saa umafia wa kimataifa utataka kutuvuruga.
 
Mimi nadhani, jingalao labda haya matokeo angeyachakata MAMAAKO! PENGINE SHEIN KAMA ALISHAWAHI KUSHINDA, ANGESHINDA! KUMBUKA TUKO DIGITAL! watanzania wa juzi si wa leo! cc@pasco baelezeeeeee baelewe!
 
Walitaka kufanya yao kina mbowe na wenzake


Nilitaka kukupa tusi! ambalo lingesababisha hata server za jf zizime! ila busara za bavicha zimenikuza vyema! ukiona mtu mzima kama nape anaropoka upuuzi! nonsence ujue tumeingiliwa! nape ni bogus! kabisa tangu tunasoma nae a level ttc 1998-2000
 
Back
Top Bottom