Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,322
- 2,694
Infinix na qualcomm ni maji na moto[emoji38]Mediatek au qualcomm?
Sio kweli infinix zero 6 pro ina Qualcomm snapdragon kabla hujalopoka fanya research kwanzaInfinix na qualcomm ni maji na moto[emoji38]
Ni vote mkuuUmesema unapewa GB 3 za RAM zinazoongeza speed ya simu...RAM inasaidia speed ya simu au inasaidia multitasking? Ebu nieleweshe apo.
Angalia infinix zero x pro imetoka lini na redmi note 11 pro imetoka lini ndio ujue nani kamuiga mwenzieInfinix awashindwi kitu wametoa design kama Redmi note 11 pro๐ ๐ ๐
Mkuu naomba kueleweshwa Snapdragon na Qualcom ni nini...???Sio kweli infinix zero 6 pro ina Qualcomm snapdragon kabla hujalopoka fanya research kwanza
Design ya simu inatoka muda mrefu before hata ya kuzinduliwa simu kama saiv unafahamu design ya iphone 14 lakini haijatoka.Angalia infinix zero x pro imetoka lini na redmi note 11 pro imetoka lini ndio ujue nani kamuiga mwenzie
Hizo Qualcomm snapdragon ndio engine ya simu au ndio ubongo wa simu kuiwezeaha simu kuchakata mambo haraka na nguvu ya kusukuma apps nzito kama games hiyo inahusika na mfumo mzima wa simu kama camera kutoa picha safi battery kutokuisha haraka nk ila yapo makampuni mengi yanayo tengeneza hizo chip na kuyauzia makampuni ya simu ila pia kuna makampuni mengine ya simu yanatengeneza za kwao wenyewe kama Samsung ana cheapest inaitwa Exynos Huawei anayo chipset yake inaitwa kirin google pixel nae pia anayo ya kwake inaitwa google tensor licha ya samsung kutengenezea Chip zake za Exynos lakini bado anatumia chip za makampuni mengine kama Qualcomm snapdragon na Mediatek HelioMkuu naomba kueleweshwa Snapdragon na Qualcom ni nini...???
Jibu ni hili makampuni yoyote sasahivi yanayotoa simu frem iko flat na back side kuko flat hiyo design wameiga kwa iPhone 12 basiiii ni mjadala jibu ndio hiloDesign ya simu inatoka mda mref before ata ya kuznduliwa simu kama saiv unafaham design ya iphone 14 lakin haijatoka
Asante sanaa Kiongozi kwa kunieleweshaa...Hizo Qualcomm snapdragon ndio engine ya simu au ndio ubongo wa simu kuiwezeaha simu kuchakata mambo haraka na nguvu ya kusukuma apps nzito kama games hiyo inahusika na mfumo mzima wa simu kama camera kutoa picha safi battery kutokuisha haraka nk ila yapo makampuni mengi yanayo tengeneza hizo chip na kuyauzia makampuni ya simu ila pia kuna makampuni mengine ya simu yanatengeneza za kwao wenyewe kama Samsung ana cheapest inaitwa Exynos Huawei anayo chipset yake inaitwa kirin google pixel nae pia anayo ya kwake inaitwa google tensor licha ya samsung kutengenezea Chip zake za Exynos lakini bado anatumia chip za makampuni mengine kama Qualcomm snapdragon na Mediatek Helio
Qualcomm snapdragon hii inakuwa nzuri ikiwa na namba kubwa kuanzia 800 mpaka 888 na kuendelea sasa hivi wametoa 8 Gen 1 iko kwenye galaxy s22
Mediatek Helio hii nayo inakua nzuri pia namba ikiwa kubwa kuanzia G80 mpaka G95 na kuendelea sasahivi wametoa inaitwa dimensty hii ni hatari na nusu
Licha ya yote hayo iPhone anayo ya kwake hashei na mtu yeyote inaitwa Bionic sasahivi anayo Bionic 15 ni shida ndio maana hakimbilii kujaza ram 16 kwenye simu kama Samsung iPhone yeye simu yake yenye RAM kubwa mwisho ni 6 lakini iko fasta ukizifanyia speed test simu yenye RAM 16 na iPhone yenye RAM 6 iPhone anaibuka mshindi
Ni matumizi mabaya sana ya pesa kununua simu hii kwa dola 300 plusUnajua kwanini nakuambia ukanunue Infinix zero x pro ? Kama wewe ni mzee wa picha picha nazani utakua na shauku ya kujua kilichopo ndani yake.
Kampuni ya Infinix iliachia simu mpya aina ya Infinix zero x pro September 17 2021 ikiwa na [emoji116]
Specs:[emoji3514]
[emoji117] 6.67 " FHD + panaroma + 120hz
[emoji117] 700nit , AMOLED + Mediatek Helio G95
[emoji117] 8GB RAM + 128 mpaka 256 storage
[emoji117] 4500 mah + 45w fast charging
[emoji117] 108 Mp + 60x periscope moonshot
[emoji117] 16mp selfie + 4k@30fps 1080p
[emoji765]341 mpaka 431 dollar
NDANI YA BOX [emoji320]
Infinix sasa wamefanikiwa kuwa washindani wa Redmi note 10 pro pamoja na Poco x3 pro, kwani muundo wake uko poa sana kamera nzuri yenye kupiga picha kwa ubora mzuri uwezo wa kuvuta kitu toka mbali na kukiona kwa ukaribu bila ukungu ukungu.
Nilichokipendea zaidi ni uwezo wa kuongeza Ram ikiwa unataka kuipa nguvu simu yako basi Infinix zero x pro wanakupa uwezo wa kuongeza Gb 3 za ram ili kuifanya simu yako iwe na Kasi zaidi Itakufanya utumie simu bila Tatizo lolote!!!
Shida ya kampuni ya Infinix ni kuja na app nyingi ambazo hazina umuhimu ni Kama mapambo, japo ndo tatizo la simu nyingi za android.
Alafu kuna changamoto ya kutona vizuri ukiwa Kwenye maeneo yenye jua Kali simu nyingi [emoji17] yani mpaka Kwenye eneo la kivuli ila kwa hii hiko poa sana wameweza kuondoa hizo changamoto
Kama wewe unapenda game na kupiga picha sana basi tumia hii simu hiko poa sana.
Overall rate ni 7 /10 [emoji85] @infinixmobiletz
Tuachie maoni yako unampango wa kumiliki simu kutoka kampuni ya Infinix ata siku moja [emoji2788] ?View attachment 2246025
Kama chipset inasaidia simu kutoisha chaji sana mbona iphone simu zake ni miongoni mwa ambazo hazikai na chaji na umesema chipset yake ni powerful?Hizo Qualcomm snapdragon ndio engine ya simu au ndio ubongo wa simu kuiwezeaha simu kuchakata mambo haraka na nguvu ya kusukuma apps nzito kama games hiyo inahusika na mfumo mzima wa simu kama camera kutoa picha safi battery kutokuisha haraka nk ila yapo makampuni mengi yanayo tengeneza hizo chip na kuyauzia makampuni ya simu ila pia kuna makampuni mengine ya simu yanatengeneza za kwao wenyewe kama Samsung ana cheapest inaitwa Exynos Huawei anayo chipset yake inaitwa kirin google pixel nae pia anayo ya kwake inaitwa google tensor licha ya samsung kutengenezea Chip zake za Exynos lakini bado anatumia chip za makampuni mengine kama Qualcomm snapdragon na Mediatek Helio
Qualcomm snapdragon hii inakuwa nzuri ikiwa na namba kubwa kuanzia 800 mpaka 888 na kuendelea sasa hivi wametoa 8 Gen 1 iko kwenye galaxy s22
Mediatek Helio hii nayo inakua nzuri pia namba ikiwa kubwa kuanzia G80 mpaka G95 na kuendelea sasahivi wametoa inaitwa dimensty hii ni hatari na nusu
Licha ya yote hayo iPhone anayo ya kwake hashei na mtu yeyote inaitwa Bionic sasahivi anayo Bionic 15 ni shida ndio maana hakimbilii kujaza ram 16 kwenye simu kama Samsung iPhone yeye simu yake yenye RAM kubwa mwisho ni 6 lakini iko fasta ukizifanyia speed test simu yenye RAM 16 na iPhone yenye RAM 6 iPhone anaibuka mshindi