Kwanini Uganda is irrelevant?

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
24,550
2,000
Na watoto wazuri wako kwa mzee PK Rwanda.

Hayo ni mawazo yako sisi wabongo tunawapenda wote. Naona umeamua tu kuchezea bando kama kuna fursa tunskuja kwenu na wewe karibu kwetu.

Ila kusema kweli mnanichanganya hivi UBC wanazungumza lugha gani ile.

Ni sawa na sisi Tz tuzungumze nyakyusa au kichaga TBC1 au hiyo lugha wanaongea UG wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna channel yao inaitwa Bukedde sijui wanaongeaga nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

tumbayz

Member
Oct 11, 2018
51
125
Kwanza ww ni mganda kweli au artificial mganda? By ghe way sisi watz huwa tunajichanganya sana, lakini waganda sjida yenu mnajitenga , acheni hiyo tabia ya kujiweka ninyi kwa ninyi, na mnapenda sana kuongea kiganda hata mkiwa na mataifa mengine, mnaleta hilo hadi kwny biashara zenu, eti km hujui kuongea kigand basi huduma bora hupati, then kingine waganda kwenu customer hakuna,

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Msingida

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,872
2,000
Mkuu hiyo ni inferiority complex,
Uganda mpo juu wala huna sababu ya kujishuku.
Tunategemana kwa vitu vingi hakuna sababu ya kujiona mpo juu au chini.Mjiamini
 

kluger

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,067
2,000
Kwa kweli nime bahatika kuishi na wakenya na waganda pia, Tanzanians we are the best in terms of interactions and social life. Easy going people, najivunia sana kuwa Mtanzania.
Hawa wenzetu wazito hata salamu kutoa shida, unakuta mtu kajaa ujinga tu wa kununa hovyo kisa eti ni Mkenya au yeye ni mganda, ha haah!wanafurahisha sana.
Then, hawa jirani zetu ukabila unawatesa hasa, muda wote wanakoroga kikabila, kuna muda nikiwa nao najihisi nipo mkoani ndani ndani sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

batmanwafez

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
498
1,000
Hicho ni kiganda,,huku tuna lugha tatu kiganda,kiswahili na English sema juu ni kiganda...ila kinataka kufanania na kihaya na kisukuma kidogo....huwa tunaelewana vizuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo huo mkuu, nimeishi uganda kwa muda na nimetembea sana huko....ukwel ni kwamba waganda wamejigawanya sana huko kwao.

Ukienda kaskazin mwa uganda(gulu and lira) utakuta watu wana asili kama ya wajaluo wanaongea kilugha chao au english kidogo. Hawajui kuongea kiganda hata kidogo.

Sehem pekee wanapongea kiganda, kiswahil na english ni kampala. Halafu kiswahil ni lugha ya kijeshi au majambaz ndo wanaongea kiswahili.

Ssebo totulimba nawee
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom