Kwanini UDOM haina PROSPECTUS?

Kwanini UDOM haina PROSPECTUS?

Hivi unaelewa maana ya prospectus au unaandika tu vitu ambavyo hata hauvijui ili kusudi tu uonekane unakishusha hadhi chuo? bila shaka Elimu yako itakuwa darasa la saba ila unajaribu kujifanya kuwa na wewe unaijua udom
 
huyu jamaa hajieliwi kabisa yan hajui lolote hata la saba hajafika huyu
 
Ndo hali halisi mkuu,chuo hakina prosoectus,inasikitisha.
 
Labda anamanisha online prospectus lakin chuo hakiwez kosa prospectus mkuu
 
Pamoja na kuwa na watalaam Wazuri wa mawasiliano.

Mkuu ni bora ukauliza kuliko kuropoka na kuchafua chuo!!UDOM ina prospectus na kila mwaka inafanyiwa mabadiliko kuendana na uhitaji na soko la ajira lilivyo!!na kila mwanafunzi akifika chuo anapewa hard copy yake sidhan kama vyuo vengine wanafanya hivyo!!hakuna chuo kisichokuwa na prospectus! !
Ni vyema ukauliza na kuomba msaada wa wazoefu walokutangulia chuo wakutumie
 
by the way kwanini mambo yake mengi yanakuwa slow? mfano majina ya sec round mpaka leo bado.
 
by the way kwanini mambo yake mengi yanakuwa slow? mfano majina ya sec round mpaka leo bado.

Mkuu inabidi mvute subira TCU bado yaendelea na mchakato wa kuchagua wanafunzi (4th round) nadhan ndo mana chuo kimetulia kwanza mpaka kipate majina kamili ndo wataachia!!
 
Mkuu inabidi mvute subira TCU bado yaendelea na mchakato wa kuchagua wanafunzi (4th round) nadhan ndo mana chuo kimetulia kwanza mpaka kipate majina kamili ndo wataachia!!
i catch u bt inachosha sanah mkuu...
 
Mkuu inabidi mvute subira TCU bado yaendelea na mchakato wa kuchagua wanafunzi (4th round) nadhan ndo mana chuo kimetulia kwanza mpaka kipate majina kamili ndo wataachia!!

inachosha sana,,,wanataka waachie lini wakati siku zinasogea
 
Prospectus mkuu...web ya udom haipo,chuo uchwara icho
 
Back
Top Bottom